Rais Samia aendelea kumuenzi Hayati Dk. John Joseph Pombe Magufuli

Hilo daraja sio serikali ilfanikisha iwe ya Magufuli au Samia limejengwa kwa hela za wakorea

Serikali haikuwa na mpango wa kujenga iwe ya Magufuli , Kikwete, nyerere Wala Mwinyi.

Credit ziende kwa wakorea
😍😍
 
Hilo daraja sio serikali ilfanikisha iwe ya Magufuli au Samia limejengwa kwa hela za wakorea

Serikali haikuwa na mpango wa kujenga iwe ya Magufuli , Kikwete, nyerere Wala Mwinyi.

Credit ziende kwa wakorea
Hao Wakorea wako Serikali ya Tanzania ingekataa Wao wangejenga? Jifunze Kufikiri Ndugu.
 
acheni unafiki unajua maana ya kumuenzi
 
Hebu fafanua
Kumuenzi mtu nikufanya yale aliyokuwa anafanya marehemu tumeona tangu Magufuli afe anawatengua viongozi aliwateua marehemu mifumo yote ya uongozi ametengua isitoshe Magufuli alikuwa anatumia mfumo mmoja hv unaitwa ujamaa na kujitegemea ambao huu unatumiwa na Russia ,North Korea China yaani kwenye huu mfumo hakuna taifa dogo kulitegemea taifa kubwa lkn samia alivyoingia katengua kaweka ubepari yaan taifa kubwa kutawala taifa dogo au taifa dogo kutegemea taifa kubwa ndo hii misaada inayoletwa haya niambie kaenzi nini Apo miradi mingap imesimama tangu magu aondoke mfano kwetu Mbagala mwendo kasi imesimama tangu mzee amekufa hakuna kinachofanyika.jibu sasa kaenzi nin
 

Big No
 
Umeonge mambo mengi mazuri swali dogo kwani huu mradi siulikuwepo tangu enzi za JPM?

Mama anapouendeleza ndio wanasema "KUMUENZI " wamekosea wapi?

Hayo mambo ya ambagala yatafanyika tu,
 
Umeonge mambo mengi mazuri swali dogo kwani huu mradi siulikuwepo tangu enzi za JPM?

Mama anapouendeleza ndio wanasema "KUMUENZI " wamekosea wapi?

Hayo mambo ya ambagala yatafanyika tu,
Hii nchi ukifanya mabaya 200 lakini ukaja ukafanya zuri 1 watu wataona umefanya la muhm sana wamesahau kwenye yale mabaya 200 kuna maelfu ya watu wanalia kuliko hili zuri 1 ambalo watu kumi ndo wanafurahi my friend kukamilisha uo mradi na kuwafukuza wamachinga barabara kupi kuna faida?
 
Vyote vinafaida mkuu, Duniani kote watu wanafanya shughuli zao kwa mpangilia kwa manufaa yao na ya wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…