Rais Samia aendelea kumuenzi Hayati Dk. John Joseph Pombe Magufuli

Kuna mafuriko ya threads hapa JF za kumtukuza Samia kwa kila aina ya sifa za kweli na za uongo
Je ile buku saba imerudi?
 
Mwambie Mbowe afanye ukarabati wa ufipa, muda unazidi kuyoyoma.
Hahahahaha.........Chama ni watu siyo majengo. Chama tawala pamoja na kuwa na majengo kubwakubwa lakini imebaki kuiba kura kwa sababu haina watu wa kuipigia kura.
 
Daraja la salenda linajengwa kwa fedha kutoka korea na asilimia chache ndio zimetolewa na serikali na mchakato wake ulianza wakati wa Kikwete tena ikiwa tayari baadhi ya fedha zikiwa zimeanza kutengwa ila utekelezaji wake umefanyika wakati wa Magufuli na hata daraja la ubungo ni hivyo hivyo.
 
Timu jini jiwe mnalazimisha aenziwe
Miradi aliyoiacha Kikwete na kutekelezwa wakati wa Magufuli na hata ile ambayo tayari ikiwa imeanza kutekelezwa yote wapambe wa jiwe wanalazimisha kuwa ni ya huyo mungu wao.
 
Kwani wale wachezaji wa Pingapinga FC wao wanasemaje kuhusu hili Daraja?

PingaPinga FC hawajielewi. Kuna kipindi wakawa wanadanganyana waisusie VodaCom, huku wakihimiza michango ya uanchama itumwe kwa M-Pesa. Yaani unawaangalia, unaishia kupiga makofi kwa mshangao unaondoka huku ukiwaonea huruma kwa kushika tama.
 

Kwenye huu mradi wa mbagala, tusiipe shaka nafasi. Hebu tumpe muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…