Rais Samia aendelea kumuenzi Hayati Dk. John Joseph Pombe Magufuli

PingaPinga FC hawajielewi. Kuna kipindi wakawa wanadanganyana waisusie VodaCom, huku wakihimiza michango ya uanchama itumwe kwa M-Pesa. Yaani unawaangalia, unaishia kupiga makofi kwa mshangao unaondoka huku ukiwaonea huruma kwa kushika tama.


Nimecheka kwa sauti aiseee
 
Hongera Sana Rais Samia walisema utashindwa leo wako wapi?

Chapa kazi mama yetu
Hakika, wanamponda lakini yeye anaishi katika alicho sema.
Aliahidi kumalizia miradi yote iliyoachwa na mtangulizi wake.
Mama wa watu anachapa kazi.
 
Hongera sana madame president. This is what want to hear/see. We are all committed kujenga nchi.
 
Mataga umeuchukua ubongo wako kutoka kabatini ukarudisha kwenye fuvu lako la kichwa. Bado jitombashisho Kinuju mama D Et al
Hilo daraja sio serikali ilfanikisha iwe ya Magufuli au Samia limejengwa kwa hela za wakorea

Serikali haikuwa na mpango wa kujenga iwe ya Magufuli , Kikwete, nyerere Wala Mwinyi.

Credit ziende kwa wakorea
 
Kwani wale wachezaji wa Pingapinga FC wao wanasemaje kuhusu hili Daraja?
 
Boss wake aliyempa maisha ataachaje sasa kumkumbuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…