Rais Samia afanya mabadiliko Wakuu wa Mikoa. Ally Hapi, Kigaigai, Kafulila na Eng. Robert Gabriel watemwa

Yeye kukuhamisha au kukuachisha anapojisikia ni dharau zaidi Bora nifanye michongo mingine kuliko Leo nipo DSM kesho kigoma keshokutwa sina kazi. Ndo maana wengi wanataka ubunge it offers more job security
Hata ubunge ukiundiwa zengwe la kufutwa uanachama si unatoka tu. Tu seme tu siasa si hasa yatosha
 
Sifa nazo zilizidi anabishana hata na maagizo ya wakuu wake kama mawaziri...
Kama juzi kwenye kikao dodoma cha kufunga mafunzo ya sensa kaagiza madarasa ya mitihani yaendelee kwenda shule wakati wizara husika ilitoa walaka kufunga shule zote wakati wa likizo ya sensa. Mzee baba alikuwa anaongea kwa mamlaka kama waziri vile.
 
David Kafulila alikuwa anamsifia Rais na CCM juzi tu, sioni alipohamishiwa.
Bado na wakili mmoja DC huko Songea! Wanapewa vyeo na hela kuwaongoza watanzania, walihongwa vyeo, vyeo vya rushwa havidumu. Silinde nae ubunge na uwaziri 26 asahau. Wasilalamike kuachwa, wakumbuke walipataje hizo nafasi.
 
Kwani Kuna waliosomea kuwa wa kuu wa mikoa? in Magufuli voice.
Katika watanzania takribani million 45 kumrudisha chalamila kwanini husijaribu na watu wengine uone ufanisi wao?
 
Kocha anayehitaji matokeo anapanga kikosi anachokiamini.
 
Naona chalamila karudishwa dimbani, akae Kwa heshima sasa
 

TOKA MAKTABA online :
15 May 2021

https://www.parliament.go.tz › news
Mhe. Rais amteua Bi. Nenelwa Mwihambi kuwa Katibu wa Bunge


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ... Katibu wa Bunge, Bw. Stephen Kagaigai ambaye ameteuliwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ...

Stephen Kagaigai ni nani :


 
Uongozi ni ajira ukichezea bahati utasaga meno
 
Hata mimi nishaliona hilo! Yaani upande ule wa wavaa madera ndo uteuzi umeegemea sana! Kwa ujumla sijaona tija ya gaya mabadiliko! Malini tatizo la ukuu wa mkoa huwa ni CCM katika mkoa husika,ukibishana nao tu kimaamzi CCM hawakutaki!
teuzi za samia ni za kibaguzi,anateua upande mmoja utasema anateua viongozi wa madrasa!
 
Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa nchini huku akiingiza majina mapya tisa akiwemo Albert Chalamila aliyetuuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Kagera...
Roho mbaya tuu,waliotemwa ni wachapakazi wazuri tuu na baadhi ya walioteuliwa ni zero brain..

Chalamila ni mchapakazi ila fitina ndio ilimtoa kipindi kile..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…