Rais Samia afanya mabadiliko Wakuu wa Mikoa. Ally Hapi, Kigaigai, Kafulila na Eng. Robert Gabriel watemwa

Brig. Gen. Mbuge alitolewa jeshini kwa muda na kupelekwa kuwa RC Kagera na baada ya teuzi za CDF na Mnadhimu sasa anarejea tena jeshini
 
Uko sahihi
 
Labda wamelipiza pale alipomtusi Ndalichako
 
Ni kweli mkuu wengi wameshajiwekeza na wana miradi yao mikubwa tu kama mashamba, ufugaji na biashara na pia wana nyumba zilizo sehemu nzuri kwa hyo wanachokosa ni kufunguliwa milangi tu ya hzo v8 za serikal, ukiwa kweny nyadhifa kubwa kama hizo pesa ipo mkuu, ukiachana na mshahara.
 
Mtaka ni mjanja mjanja. Maneno mengi hata vitabu vyenyewe hasomi,sifa lukuki.
 
Atakuwa alikwisha jiandaa kisaikolojia...
Its a game of thrones! Leo yuko huyu, kesho yuko yule...

Leo uko kwenye kiyoyozi, kesho uko kwenye mionzi, unapigwa na jua.
Leo unafunguliwa mlango wa V8, kesho unashika bomba kwenye DCM la Gongo la Mboto.
Kazi za hovyo sana hizi.
Yaani mtu unaishi kama kunguru, huijui kesho yako.

Ndio maana wengi wanaopata hizi nafasi wanakuwa WAPIGAJI balaa.
 
Atakuwa alikwisha jiandaa kisaikolojia...
Its a game of thrones! Leo yuko huyu, kesho yuko yule...

Leo uko kwenye kiyoyozi, kesho uko kwenye mionzi, unapigwa na jua.
Leo unafunguliwa mlango wa V8, kesho unashika bomba kwenye DCM la Gongo la Mboto.
Those politicians hawalijui hili.

Ukitaka kuamini angalia wakati Bashite na yule Mmasai wanaempiga danadana mahakamani jinsi walivyokuwa wamejisahu.
 
Mwanza ali faa aje Anthony Mtaka.

Hizi teuzi tengua za Samia binafsi huwa sioni tija yake. Ni hovyo hovyo tu.
 
Ngoja nijidai uteuzi watu wengi wa upande wa mbalamwezi na nyota sijauona

Mbalamwezi na nyota 'kobazi' oyeee
Misalaba na Rozali ziii
Full stop.
Sikutaka kucheka ila we jamaa mchokozi sana 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…