Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Brig. Gen. Mbuge alitolewa jeshini kwa muda na kupelekwa kuwa RC Kagera na baada ya teuzi za CDF na Mnadhimu sasa anarejea tena jeshini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihiKwa upande wangu naona haya mabadiliko ya Mh. Anthony Mtaka yalikuwa hayastahili kwa sasa . Sio kwamba mamlaka imekosea , hapana ila naona kama dodoma especially wamachinga na bodaboda na vijana bado walikuwa wanamuhitaji.
Ila zaidi watu wa Tanga tunahitaji mtu kama huyu [emoji123]
View attachment 2306562
Uko sahihina
Na sijui ni kwanini wakuu wengine wa mikoa hawajifunzi toka kwa huyuUko sahihi
Huyo itakuwa keshachukua za migodini maana amewatembelea sanaMaskini. Ndio kwanza nyumba yake iko kwenye lenta! Sijui atakuja kupanga upade mmoja Sinza! [emoji3][emoji3][emoji3]
Labda wamelipiza pale alipomtusi Ndalichako1.Alli hapi
2.Kafulila
3.Eng Gabriel
Nk
Wameliwa kichwa
NB
Mtaka kutoka Dodoma hadi Njombe ni kama wamemla kichwa kistaarabu.
Ajirekebishe tabia yake ya u much know, kiburi na dharau.
Alisifiwa mwanzo naona sasa hivi anaharibu,sifa zinamlevya wahenga walipata kusema"...... Mgema akisifiwa tembo hulitia maji."
Ni kweli mkuu wengi wameshajiwekeza na wana miradi yao mikubwa tu kama mashamba, ufugaji na biashara na pia wana nyumba zilizo sehemu nzuri kwa hyo wanachokosa ni kufunguliwa milangi tu ya hzo v8 za serikal, ukiwa kweny nyadhifa kubwa kama hizo pesa ipo mkuu, ukiachana na mshahara.Hizi assumption mimi huwa siamini kama mpo serious wakuu, unakuta mtu labda alikuwa waziri kwa miongo kadhaa (mf Lukuvi) kisha akitumbuliwa tuamini kwamba atakuwa anapigwa mionzi ya jua au kushika bomba la daladala kama sisi?[emoji23]
Huyu Ally Happy pamoja na mahela waliyochota enzi za baba yao wakiwa na akina Sabaya na Makonda, watapigwaje mionzi ya jua? We si unaona life la Makonda bado anakula raha tu.
Me siamini kama kuna MWANA-CCM anaeweza kushika nyazifa za miaka kafhaa afu akatika masikini.
Mtaka ni mjanja mjanja. Maneno mengi hata vitabu vyenyewe hasomi,sifa lukuki.1.Alli hapi
2.Kafulila
3.Eng Gabriel
Nk
Wameliwa kichwa
NB
Mtaka kutoka Dodoma hadi Njombe ni kama wamemla kichwa kistaarabu.
Ajirekebishe tabia yake ya u much know, kiburi na dharau.
Alisifiwa mwanzo naona sasa hivi anaharibu,sifa zinamlevya wahenga walipata kusema"...... Mgema akisifiwa tembo hulitia maji."
Kazi za hovyo sana hizi.Atakuwa alikwisha jiandaa kisaikolojia...
Its a game of thrones! Leo yuko huyu, kesho yuko yule...
Leo uko kwenye kiyoyozi, kesho uko kwenye mionzi, unapigwa na jua.
Leo unafunguliwa mlango wa V8, kesho unashika bomba kwenye DCM la Gongo la Mboto.
Tuliaminishwa mikoa ya mipakani ni watu wa kusomea mbinu za kutunza amani na ulinzi, inakuwaje hii mikoa inapelekewa ambao hawana hiyo professional?Kule Ruvuma, Mtwara na Kagera wote wanarudi Ngome?
Those politicians hawalijui hili.Atakuwa alikwisha jiandaa kisaikolojia...
Its a game of thrones! Leo yuko huyu, kesho yuko yule...
Leo uko kwenye kiyoyozi, kesho uko kwenye mionzi, unapigwa na jua.
Leo unafunguliwa mlango wa V8, kesho unashika bomba kwenye DCM la Gongo la Mboto.
Mwanza ali faa aje Anthony Mtaka.Mwanza kulikuwa na shida labda kama mlikuwa hamuoni!! Acha huyu jamaa aondoke aisee
Maji ni shida huu mwez wa pili sasa
Miradi mingi inasua sua, mfano termina ya airport pale, soko kuu kati pale na mingine mingi tu
Upigaji hela kwenye halmashauri haswa mapato ya ndani
Mkuu wamkoa yeye kila siku kwenye ziara ambazo hazikuwa naimpact yoyote kuuboresha mji! So acha wamlekichwa!! Ikizingatiwa uchaguzi unakaribia mama anajua kamda yaziwa anahitaji support from the ground so kaletwa malima ki mkakati
Sikutaka kucheka ila we jamaa mchokozi sana 🤣🤣🤣Ngoja nijidai uteuzi watu wengi wa upande wa mbalamwezi na nyota sijauona
Mbalamwezi na nyota 'kobazi' oyeee
Misalaba na Rozali ziii
Full stop.
Yule demu wake alikuwa ana jidai na kuidharau Chadema kisa bwana RcMbwembwe za Kafulila majuzi kati ilikuwa kumzuga Rais [emoji1787][emoji1787]
Mama hana udiniNgoja nijidai uteuzi watu wengi wa upande wa mbalamwezi na nyota sijauona
Mbalamwezi na nyota 'kobazi' oyeee
Misalaba na Rozali ziii
Full stop.