Rais Samia afanya mabadiliko Wakuu wa Mikoa. Ally Hapi, Kigaigai, Kafulila na Eng. Robert Gabriel watemwa

Rais Samia afanya mabadiliko Wakuu wa Mikoa. Ally Hapi, Kigaigai, Kafulila na Eng. Robert Gabriel watemwa

1.Alli hapi
2.Kafulila
3.Eng Gabriel
Nk
Wameliwa kichwa

NB
Mtaka kutoka Dodoma hadi Njombe ni kama wamemla kichwa kistaarabu.
Ajirekebishe tabia yake ya u much know, kiburi na dharau.
Alisifiwa mwanzo naona sasa hivi anaharibu,sifa zinamlevya wahenga walipata kusema"...... Mgema akisifiwa tembo hulitia maji."
Haswaaa Mtaka kashushwa kistaarabu wallah, yule anafaa kuwepo ktk Jiji.
 
Hizi teuz za usiku wa manane bila kujua ushatumbuliwa, unaweza jikuta unafika ofsin na bodaboda dreva wako kakugomea[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nasuviri mkeka wa wakuu wa wilaya, naamini shogaa angu atakuwepo, tulambe asali na sisi, weraaaaaaaaaah.

Kwa mkeka huu, ujao wa wilaya lazima awepo. Weuweeeeeeeh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa nchini huku akiingiza majina mapya tisa akiwemo Albert Chalamila aliyeteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Kagera.

Wakuu wa mikoa 10 wamebaki kwenye vituo vyao vya kazi vya awali huku 7 wakihamishwa.

Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Mara, Ally Hapi ameachwa katika orodha mpya, dhahma hiyo pia imewakumba aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu, David Kafulila.

Pia aliyekuwa katibu mkuu wa Bunge na baadae kupewa mkoa wa Kilimanjaro, Stephen Kigaigai nae ametemwa.

======

Mkeka wa wakuu wa mikoa.
View attachment 2306342View attachment 2306343
View attachment 2306345
kuna kitu kinaniambia kafulila anapangiwa kazi nyingine kubwa zaidi
 
Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa nchini huku akiingiza majina mapya tisa akiwemo Albert Chalamila aliyeteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Kagera.

Wakuu wa mikoa 10 wamebaki kwenye vituo vyao vya kazi vya awali huku 7 wakihamishwa.

Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Mara, Ally Hapi ameachwa katika orodha mpya, dhahma hiyo pia imewakumba aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu, David Kafulila.

Pia aliyekuwa katibu mkuu wa Bunge na baadae kupewa mkoa wa Kilimanjaro, Stephen Kigaigai nae ametemwa.

======

Mkeka wa wakuu wa mikoa.
View attachment 2306342View attachment 2306343
View attachment 2306345
Yule mjeshi kipenzi chake chuma JPM ie yule wa kagera nae wamekula kichwa!!duuh
 
Balozi Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge mkuu wa mkoa wa Ruvuma vipi amehamishiwa mambo ya nje ? Mkuu wa Itifaki na katibu mkuu wizara ya mambo ya nje awamu ya JPM wanampeleka wapi ?

10 August 2020
Ambassador Brigadier General Wilbert Augustin Ibuge

Ambassador Brigadier General Wilbert Augustin Ibuge, Permanent Secretary, Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation, United Republic of Tanzania speaking at the SADC Senior Officials virtual meeting on 10 August, 2020
Source : Southern Africa Development Community, SADC
Huyu kafukuzwa, Fired
 
Basi Kafulila alipoteuliwa nilikuwa na shida fulani nilimpigia simu mara 70 na text 10 hakujibu mpaka leo anatenguliwa. Nadhani ajifunze siyo kila mtu wa anayekupigia simu ana njaa
We sema ulitaka kumpiga mzinga ndiomaana akakupotezea!
Halafu hao mbona wanateuliwa nafasi zingine soon
 
Back
Top Bottom