Una shida kichwaniSijui mpoje sometimes yani kama majinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una shida kichwaniSijui mpoje sometimes yani kama majinga
Haswaaa Mtaka kashushwa kistaarabu wallah, yule anafaa kuwepo ktk Jiji.1.Alli hapi
2.Kafulila
3.Eng Gabriel
Nk
Wameliwa kichwa
NB
Mtaka kutoka Dodoma hadi Njombe ni kama wamemla kichwa kistaarabu.
Ajirekebishe tabia yake ya u much know, kiburi na dharau.
Alisifiwa mwanzo naona sasa hivi anaharibu,sifa zinamlevya wahenga walipata kusema"...... Mgema akisifiwa tembo hulitia maji."
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hizi teuz za usiku wa manane bila kujua ushatumbuliwa, unaweza jikuta unafika ofsin na bodaboda dreva wako kakugomea[emoji16]
Aiseeee unalalaa jobless unaamka bossAiseeee unalala boss unaamka jobless
Zile zilikuwa ID zake alikuwa akijisifiaDavid Kafulila alikuwa anamsifia Rais na CCM juzi tu, sioni alipohamishiwa.
WalishaachanaYule demu wake alikuwa ana jidai na kuidharau Chadema kisa bwana Rc
Sasa naye asubiri mahakama ipite nae, waka lime alizeti
Umesoma kwa wenge mkuu.Kipenge namba tisa ni teuzi ya Mkuu wa mkoa wa Tabora.
Unajidanganya SanaMasikini ngedere atarudia kurukia matawi ya miti
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo huko lazima utakutwa na kashfa kubwa ya/za kukung'oa.Ukiona unapelekwa Mara na ulikua na kashfa ndogo ndogo ujue unatafutiwa namna ya kuliwa kichwa.
kuna kitu kinaniambia kafulila anapangiwa kazi nyingine kubwa zaidiRais Samia Suluhu amefanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa nchini huku akiingiza majina mapya tisa akiwemo Albert Chalamila aliyeteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Kagera.
Wakuu wa mikoa 10 wamebaki kwenye vituo vyao vya kazi vya awali huku 7 wakihamishwa.
Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Mara, Ally Hapi ameachwa katika orodha mpya, dhahma hiyo pia imewakumba aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu, David Kafulila.
Pia aliyekuwa katibu mkuu wa Bunge na baadae kupewa mkoa wa Kilimanjaro, Stephen Kigaigai nae ametemwa.
======
Mkeka wa wakuu wa mikoa.
View attachment 2306342View attachment 2306343
View attachment 2306345
Mara paaap.. ..kawa balozi...Maskini. Ndio kwanza nyumba yake iko kwenye lenta! Sijui atakuja kupanga upade mmoja Sinza! [emoji3][emoji3][emoji3]
Yule mjeshi kipenzi chake chuma JPM ie yule wa kagera nae wamekula kichwa!!duuhRais Samia Suluhu amefanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa nchini huku akiingiza majina mapya tisa akiwemo Albert Chalamila aliyeteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Kagera.
Wakuu wa mikoa 10 wamebaki kwenye vituo vyao vya kazi vya awali huku 7 wakihamishwa.
Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Mara, Ally Hapi ameachwa katika orodha mpya, dhahma hiyo pia imewakumba aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu, David Kafulila.
Pia aliyekuwa katibu mkuu wa Bunge na baadae kupewa mkoa wa Kilimanjaro, Stephen Kigaigai nae ametemwa.
======
Mkeka wa wakuu wa mikoa.
View attachment 2306342View attachment 2306343
View attachment 2306345
Huyu kafukuzwa, FiredBalozi Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge mkuu wa mkoa wa Ruvuma vipi amehamishiwa mambo ya nje ? Mkuu wa Itifaki na katibu mkuu wizara ya mambo ya nje awamu ya JPM wanampeleka wapi ?
10 August 2020
Ambassador Brigadier General Wilbert Augustin Ibuge
Ambassador Brigadier General Wilbert Augustin Ibuge, Permanent Secretary, Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation, United Republic of Tanzania speaking at the SADC Senior Officials virtual meeting on 10 August, 2020
Source : Southern Africa Development Community, SADC
Hilo pagala lipo wapi[emoji3][emoji3][emoji3]Maskini. Ndio kwanza nyumba yake iko kwenye lenta! Sijui atakuja kupanga upade mmoja Sinza! [emoji3][emoji3][emoji3]
Wala kiti Moto mna udini aisee!Ngoja nijidai uteuzi watu wengi wa upande wa mbalamwezi na nyota sijauona
Mbalamwezi na nyota 'kobazi' oyeee
Misalaba na Rozali ziii
Full stop.
Just imagine mume/mke anahamishwa huku na huko kila kukicha , vipi mwenza wake kuhusu ajira yake?Ukikataa uteuzi wa Rais ni dharau.
FiredMarco Gaguti nilikuwa namuelewa sana tangu akiwa Kagera, sasa sijui mama kampeleka wapi
We sema ulitaka kumpiga mzinga ndiomaana akakupotezea!Basi Kafulila alipoteuliwa nilikuwa na shida fulani nilimpigia simu mara 70 na text 10 hakujibu mpaka leo anatenguliwa. Nadhani ajifunze siyo kila mtu wa anayekupigia simu ana njaa