Rais Samia afanya mabadiliko Wakuu wa Mikoa. Ally Hapi, Kigaigai, Kafulila na Eng. Robert Gabriel watemwa

Rais Samia afanya mabadiliko Wakuu wa Mikoa. Ally Hapi, Kigaigai, Kafulila na Eng. Robert Gabriel watemwa

Wakapumzike tuu. Maisha ni kubadilishana vijiti. Umepata dhamani ya ukuu wa mkoa/wilaya/uwaziri nk kwa miaka 2-3 au zaidi na bado unalalamika?

Hizi kazi zitangazwe watu washindanishwe au ziwe za mkataba!
Hawawezi fanya hivyo coz hawa ndio ndio vibaraka na chawa wa raisi. Hii miccm huijui inavyopenda kupeana kula.
 
Kafulila baba yake Msukuma mama yake mfipa. Kafulila kwa kisukuma kasufuria. Baba yake alikuwa mwalimu Nguruka mkoani Kigoma na ndipo alipozaliwa lakini ni msukuma.
Mmmmmh!!! Sasa mbona hafananii kabisa na wasukuma. Hakuna msukuma Mbishi vile, pia ni nadra sana kukuta Msukuma anasaliti wenzake. Zitto na Kafulia wote wamebeba tabia za watu wa ile nchi jirani na Kigoma .
 
Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa nchini huku akiingiza majina mapya tisa akiwemo Albert Chalamila aliyeteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Kagera.

Wakuu wa mikoa 10 wamebaki kwenye vituo vyao vya kazi vya awali huku 7 wakihamishwa.

Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Mara, Ally Hapi ameachwa katika orodha mpya, dhahma hiyo pia imewakumba aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu, David Kafulila.

Pia aliyekuwa katibu mkuu wa Bunge na baadae kupewa mkoa wa Kilimanjaro, Stephen Kigaigai nae ametemwa.


======

Mkeka wa wakuu wa mikoa.
View attachment 2306342View attachment 2306343
View attachment 2306345
Hoja kuu ni KATIBA mpya itokanayo na RASIMU alosimamia Judge WARIOBA kabla haijachakachuliwa kuwa Katiba pendekezwa.

Watumishi, boda, wakulima, wafanyabiashara waendelee kupaza sauti zao bila kuchoka. Ameeeen
 
Issue ya Chalamila ilikuwa ni misinterpretation tu ya kauli yake. Lakini huyu Hapi, atarudi endapo ikitokea masalia ya utawala wa JPM yakibahatika kushika nchi.
Hahaha hata kwa Chalamila mlisema hivyohivyo (Sukuma Gang) ila leo karudishwa mnasema ilikuwa ni misinterpretation ya kauli zake, nyinyi tulieni tu hawa CCM wana namna yao ya kupeana ulaji.

Mungu atupe maisha marefu tu, si ajabu huko mbeleni tukamuona Makonda nae karudi😂.
 
Hivi seruously mmekaa mkitarajia kuwa hawa wanaowekwa benchi huku wakisubiri ngwe nyingine kuwa watakuja kuteseka sawa na nyinyi mnaoteseka huku uraiani, kwamba na wao watakaa kulilia bei za bando, watakutana na mazingira magumu kama nyinyi endapo wataamua kufanya biashara zao, huduma zao kiafya zitakuwa kama zenu, watakosa V8 na magari ya maana kutembelea, watalalamikia mfumuko wa bei na menginr mengi??


Ama kweli kuwaongoza watz ni kitu Simple sana, leo nimeona hadi viongozi wakubwa wa upinzani nao eti wanajisikia amani baada ya huu utenguzi nikajiuliza kwa kipi? Tulifurahi Chalamila kuenguliwa leo karudi, vipi hawa wakirudi tena tutakuwa tumefanikisha ajenda gani?

Mmesahau ya KINGAI eeeh😂😂.
 
Labda wamelipiza pale alipomtusi Ndalichako



Wapi alimtusi ?

Kusema hii sio sahihi na kuonesha njia sahihi ni kumtukana mtu ?

Tunafanya watu wasiwe creative kwenye utendaji wao.

Tunadumaza fikra na maono ya watu.

Tunajenga udumavu wa fikra.

Inasikitisha sana!
 
Pole Dodoma hongera Njombe by Mabala, mimi nakazia hukumu, Senyamule Same kaiacha hovyo, kapandishwa toka ukuu wa wilaya hadi mkuu wa mkoa Geita nayo kaiacha hovyo, sasa kapelekwa makao makuu penye changamoto nyingi, pengine anaenda kuwa ceremonial RC wa kupokea wageni, ila tusitegemee jipya pale
 
Hata ubunge ukiundiwa zengwe la kufutwa uanachama si unatoka tu. Tu seme tu siasa si hasa yatosha

Wabunge hawapo at anybody's disposal.

Mara ngapi umesikia mbunge kaachishwa? Covid-19 hadi leo wapo bungeni pamoja na sarakasi zote.

Mbunge ni almost 5yrs term guaranteed.
 
Hizi kazi zipo kwa ajili ya kila mtanzania mwenye sifa zinazoendana nazo; possibly wewe ukiwa ni mmoja wao. Unakuwa mpumbavu wewe kwa kuziita kuwa ni za kipumbavu kwa sababu in essence, wewe pia ni mmojawapo wa watu wanaowajibika kufanya kazi hizi, na pasipo hiari yako. Ni kwa sababu tu tuna tatizo la ajira, ndiyo maana inaonekana kama kazi hizi ni ulaji na za hiari wakati siyo. Mamlaka za uteuzi zikishaamua kuwa wewe ufanye kazi hizo, inakuwa siyo hiari. Sema tu kwa sababu tunaozihitaji tupo wengi, ikitokea ukaamua kuomba uachwe apewe mtu mwingine, mamlaka za uteuzi huwa hazioni sababu yoyote ya kuendelea kumng'ang'ania mtu mmoja wakati walio na sifa bado wapo wengi tu mtaani. Tuseme kwa mfano, wewe ndiyo mtu pekee mwenye sifa ya kufanya kazi ambayo mamlaka ya uteuzi imeamua kukuteua, katika mazingira hayo unakuwa huna hiari ya kutokufanya kazi hiyo; whether unapenda au hupendi, kazi hiyo lazima utaifanya; iwe ni ukuu wa Mkoa au uwaziri, ni lazima utafanya bila kujali unapenda au hupendi

Mamlaka ya uteuzi my foot. Wewe ukiniona nafaa mimi nakwambia I'm unfit unless unataka niende nikaharibu kazi in a day.

Tatizo ni ajira wengi hawana mambo mengine ya kufanya washazoea kubebwa na system hawawezi fanya jambo lingine nje ya mfumo ila ni kazi za kiboya sana. Unapelekeshwa tu kama nyumbu.

In reality RC anakua amefanya nini cha maana in 6 month or a yr mkoani? Hata mazingira ya mkoa yenyewe bado hajazoe tayari anahamishwa, hizi kazi hazina maana ni upuuuzi tu.
 
Huu uteuz wa usiku wa manane Ni balaaa tupu, unaamka kibarua kimeota mbawa[emoji848]
lkn wengine wameonewa ukiangalia watoto wa vigogo wa zamani hawajaguswa bali wanaguswa watoto ambao baba zao hawakuwa vigogo.kweli nimeamini aliyenacho huongezewa.
 
Back
Top Bottom