Rais Samia afanya mabadiliko Wakuu wa Mikoa. Ally Hapi, Kigaigai, Kafulila na Eng. Robert Gabriel watemwa

Na wote ni wasukuma
 
Mabaki ya waunga juhudi yamepanguswa
 
Madhara ya nafasi za kuteuliwa ukiwa na umri mdogo ndio hizi wamala kichwa ushazoeq kunyanyua mabega
Aje huku nimfundishe kubeti. Maisha lazima yaendelee.

Hata sie tuliwahi kuwa kwenye viyoyozi.

Siku naambiwa paki hapa gari letu, ajira ikaisha nilidhani ndio mwisho wa Dunia.

Leo hii Mungu si Athumani, napandisha kaghorofa, maisha yanaendelea kama kawa.

So, waliopigwa chini, wajue kabisa kuwa maisha lazima yaendelee...
 
Balozi Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge mkuu wa mkoa wa Ruvuma vipi amehamishiwa mambo ya nje ? Mkuu wa Itifaki na katibu mkuu wizara ya mambo ya nje awamu ya JPM wanampeleka wapi ?

10 August 2020
Ambassador Brigadier General Wilbert Augustin Ibuge


Ambassador Brigadier General Wilbert Augustin Ibuge, Permanent Secretary, Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation, United Republic of Tanzania speaking at the SADC Senior Officials virtual meeting on 10 August, 2020
Source : Southern Africa Development Community, SADC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…