Rais Samia afanya mabadiliko Wakuu wa Mikoa. Ally Hapi, Kigaigai, Kafulila na Eng. Robert Gabriel watemwa

Rais Samia afanya mabadiliko Wakuu wa Mikoa. Ally Hapi, Kigaigai, Kafulila na Eng. Robert Gabriel watemwa

1.Alli hapi
2.Kafulila
3.Eng Gabriel
Nk
Wameliwa kichwa

NB
Mtaka kutoka Dodoma hadi Njombe ni kama wamemla kichwa kistaarabu.
Ajirekebishe tabia yake ya u much know, kiburi na dharau.
Alisifiwa mwanzo naona sasa hivi anaharibu,sifa zinamlevya wahenga walipata kusema"...... Mgema akisifiwa tembo hulitia maji."
Alizidi sifa sana... Ujuvi mwingii!
 
Miongoni mwa vijana walioletwa kwenye tasnia na the late, ni Makonda tu ndiyo alijua kusomba mali za kutosha. Kama ni for living decently tu, huyu atakula hela mpaka ataziacha.

Sabaya naye alipiga hela, sema ndo hivyo alinasa, sitaki kuamini kama Ally Happy alikuwa boya kiasi hicho.
Happy ni mjinga kama Jaffo, wanawaza ngono tu... Hapi anapenda chini anakula mpaka machoko.
 
Happy ni mjinga kama Jaffo, wanawaza ngono tu... Hapi anapenda chini anakula mpaka machoko.
Nafikiri swala la ngono ni swala binafsi na huwa linazidi kukosa mashoko pale unapokosekana ushahidi wa moja kwa moja. Kula machoko inaweza kuwa big deal lakini utaaminikaje?

Tukisema tufuatilie maswala ya ngono, ninauhakika hata SSH hajalala na mwanaume mmoja tangu azaliwe, je hafai kwasababu hiyo pekee??
 
RC Kilimanjaro naye kaliwa kichwa ...issue ya wakulima na wafugaji kule West Kilimanjaro imemuondoa
 
hizi kazi za kuteuliwa za kiwaki kweli kweli !

yaani unalala umelindwa na Bodyguard unaamka asubuhi unaambiwa kusanya vilago hata yule Bodyguard aliyekua amekulinda usiku anakuona kama paka

bado hujatanga tanga ka nzige leo Dom,kesho Moro,keshokutwa Mtwara,kesho yake kazi huna

nyie 🙌
 
Kazi za kipumbavu sana unakua at President's disposal all the time. Mara uhamishwe, mara ufutwe as though maisha yako hayana dira. Huwa sielewi kwanini wanazikubali.
MONEY, POWER, RESPECT AND AJIRA
 
Ikimpendeza Kafulila arudi CDM kuunga jitihada za kudai Katiba Mpya!
 
Back
Top Bottom