Kapumpuli
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 2,040
- 2,674
Huyu Kafulila ndo nimeshangaa... Alikuwa anampamba mama kila siku.... Lakini kapigwa....David Kafulila alikuwa anamsifia Rais na CCM juzi tu, sioni alipohamishiwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Kafulila ndo nimeshangaa... Alikuwa anampamba mama kila siku.... Lakini kapigwa....David Kafulila alikuwa anamsifia Rais na CCM juzi tu, sioni alipohamishiwa.
Alizidi sifa sana... Ujuvi mwingii!1.Alli hapi
2.Kafulila
3.Eng Gabriel
Nk
Wameliwa kichwa
NB
Mtaka kutoka Dodoma hadi Njombe ni kama wamemla kichwa kistaarabu.
Ajirekebishe tabia yake ya u much know, kiburi na dharau.
Alisifiwa mwanzo naona sasa hivi anaharibu,sifa zinamlevya wahenga walipata kusema"...... Mgema akisifiwa tembo hulitia maji."
Happy ni mjinga kama Jaffo, wanawaza ngono tu... Hapi anapenda chini anakula mpaka machoko.Miongoni mwa vijana walioletwa kwenye tasnia na the late, ni Makonda tu ndiyo alijua kusomba mali za kutosha. Kama ni for living decently tu, huyu atakula hela mpaka ataziacha.
Sabaya naye alipiga hela, sema ndo hivyo alinasa, sitaki kuamini kama Ally Happy alikuwa boya kiasi hicho.
Alishakukula?Happy ni mjinga kama Jaffo, wanawaza ngono tu... Hapi anapenda chini anakula mpaka machoko.
Ndio, ugomvi nimenunuaAlishakukula?
Nafikiri swala la ngono ni swala binafsi na huwa linazidi kukosa mashoko pale unapokosekana ushahidi wa moja kwa moja. Kula machoko inaweza kuwa big deal lakini utaaminikaje?Happy ni mjinga kama Jaffo, wanawaza ngono tu... Hapi anapenda chini anakula mpaka machoko.
Hajafukuzwa, ni Br. General ambassador. Hajastaafu jeshini anarudi ofisini. Msikariri kwamba kila mtu kafukuzwa.Huyu kafukuzwa, Fired
Muhumini?Chalamila Ni muhumini mzuri Sana kwa mwamposa
Unahisi atayekuja ataiweka sawa?RC Kilimanjaro naye kaliwa kichwa ...issue ya wakulima na wafugaji kule West Kilimanjaro imemuondoa
Brig general anafukuzwaje?Huyu kafukuzwa, Fired
Sijui kwa nini kamhamisha Mtaka pale Dodoma?
MONEY, POWER, RESPECT AND AJIRAKazi za kipumbavu sana unakua at President's disposal all the time. Mara uhamishwe, mara ufutwe as though maisha yako hayana dira. Huwa sielewi kwanini wanazikubali.
Sidhani...Unahisi atayekuja ataiweka sawa?