Rais Samia afanya mabadiliko Wakuu wa Mikoa. Ally Hapi, Kigaigai, Kafulila na Eng. Robert Gabriel watemwa

Rais Samia afanya mabadiliko Wakuu wa Mikoa. Ally Hapi, Kigaigai, Kafulila na Eng. Robert Gabriel watemwa

Nafikiri swala la ngono ni swala binafsi na huwa linazidi kukosa mashoko pale unapokosekana ushahidi wa moja kwa moja. Kula machoko inaweza kuwa big deal lakini utaaminikaje?

Tukisema tufuatilie maswala ya ngono, ninauhakika hata SSH hajalala na mwanaume mmoja tangu azaliwe, je hafai kwasababu hiyo pekee??
Kwanza huko serikalini nani msafi?? 90% ya viongozi ni HOMO.

Kila mtu atabeba msalaba wake.
 
Anapenda kiki,hana tofauti na Mwendazake.
Heshima mkuu 'Frank Wanjiru', imenibidi nishangae, tena sana kwa haya uliyoandika hapa kuhusu huyu Mtaka!

Kumlinganisha Mtaka na Magufuli?

Hebu eleza kidogo unayojua wewe, maana hili jambo ni zito sana.

Nimetokea kumheshimu sana huyo Mkuu wa mkoa kwa kusikia na kuona anayofanya sehemu mbalimbali alikopangwa kazi. Sijaona popote alipofanya mambo ya ajabuajabu.
Kama ni kupenda sifa? Labda huko, lakini hili si hoja sana kama kazi inaonekana.

Kwa hali ya uongozi wa nchi yetu ilivyo sasa, tuwe waangalifu sana kuwakatisha tamaa hata wale wachache wanaojitokeza kuwa tofauti kidogo na uozo uliopo sasa hivi.

Kwa maoni yangu, huyu ni mmoja katika kundi kubwa la viongozi walioko huko CCM ambaye ana nafuu na pengine akipewa nafasi anaweza kufanya mazuri zaidi kwa nchi yetu.

Lakini niseme wazi, mbali ya kumsikia akisema, na kuona baadhi ya aliyosimamia, binafsi simfahamu vizuri zaidi. Kama yapo mambo ambayo wewe unayajua kiasi cha kufikia hitimisho la hayo uliyoandika hapo juu, basi, changia kutufahamisha nasi tujue mambo ya huyu jamaa.
 
Aje huku nimfundishe kubeti. Maisha lazima yaendelee.

Hata sie tuliwahi kuwa kwenye viyoyozi.

Siku naambiwa paki hapa gari letu, ajira ikaisha nilidhani ndio mwisho wa Dunia.

Leo hii Mungu si Athumani, napandisha kaghorofa, maisha yanaendelea kama kawa.

So, waliopigwa chini, wajue kabisa kuwa maisha lazima yaendelee...
Dah! JF bwana. Sijuuuutii kuifahamu!
 
Ikimpendeza Kafulila arudi CDM kuunga jitihada za kudai Katiba Mpya!
Ukute kuna maandalizi ya chama kipya kitakachoibuka kabla ya 2025. Kina Dr Slaa, Kafulila+ Covid nk.

Tuitunze hii post
 
Heshima mkuu 'Frank Wanjiru', imenibidi nishangae, tena sana kwa haya uliyoandika hapa kuhusu huyu Mtaka!

Kumlinganisha Mtaka na Magufuli?

Hebu eleza kidogo unayojua wewe, maana hili jambo ni zito sana.

Nimetokea kumheshimu sana huyo Mkuu wa mkoa kwa kusikia na kuona anayofanya sehemu mbalimbali alikopangwa kazi. Sijaona popote alipofanya mambo ya ajabuajabu.
Kama ni kupenda sifa? Labda huko, lakini hili si hoja sana kama kazi inaonekana.

Kwa hali ya uongozi wa nchi yetu ilivyo sasa, tuwe waangalifu sana kuwakatisha tamaa hata wale wachache wanaojitokeza kuwa tofauti kidogo na uozo uliopo sasa hivi.

Kwa maoni yangu, huyu ni mmoja katika kundi kubwa la viongozi walioko huko CCM ambaye ana nafuu na pengine akipewa nafasi anaweza kufanya mazuri zaidi kwa nchi yetu.

Lakini niseme wazi, mbali ya kumsikia akisema, na kuona baadhi ya aliyosimamia, binafsi simfahamu vizuri zaidi. Kama yapo mambo ambayo wewe unayajua kiasi cha kufikia hitimisho la hayo uliyoandika hapo juu, basi, changia kutufahamisha nasi tujue mambo ya huyu jamaa.
Mtaka ni mtu wa sifa amini hilo
 
Hizi ndizo habari wazipendazo sana wabongo.

"Fulani kaliwa kichwa".

Yaani watasahau hadi nyongeza za mishahara.😁

😂😂😂😂😂🤣😂🤣😂. Kwa kweli katika haya mambo Serikali huwa inatupatia sana. WABONGO HUWA WANAPENDA SANA TAARIFA ZA TUMBUATUMBUA NA TEUZI. Ila ktk hayo Mawili huwa wanapenda sana kusikia WALIOPIGWA CHINI na ndipo mjadala utakapojikita hapo kuwa fulani kalambwa kichwa, fulani tupa kule, mamaee fulani alizima data hakujua kuna mkeka, fulani alikuwa anaringa sana.

Lakini kuhusu hoja ya walioteuliwa inakuwa sio issue kabisa kwa wabongo
Yaani hawa waliiteuliwa leo ikitokea miezi 6 ijayo wakapigwa chini bado Wabongo watafurahia tu.

Tafsiri yake ni Moja tu kuwa ngozi yetu hii TUNAFURAHIA DOWN FALLS ZA WENGINE HATA KAMA HANA MASLAHI NAYE. YAANI WIVU NA ROHO MBAYA.

Sasahivi tunasubiria Mkeka wa wakuu wa wilaya, makatibu wakuu, wakurugenzi na mawaziri.
 
hivi Tanganyika yetu zaidi ya NGONO kuna kipi zaidi cha kujivunia kama taifa?
Kuna member mmoja kasema eti huyu ni hawara wa Mkwere, nami nikasema ngoja nimuulize google......nilipoangalia picha tu nimeishia kucheka!

SAM_7954.JPG
 
Ngoja nijidai uteuzi watu wengi wa upande wa mbalamwezi na nyota sijauona

Mbalamwezi na nyota 'kobazi' oyeee
Misalaba na Rozali ziii
Full stop.

Usituletee udini hapa, ina maana wasomi wa dini fulani hawastahili teuzi wakati shuleni na vyuoni wapo wote wanasoma na kila mmoja anataka ajira nzuri?
 
Back
Top Bottom