Rais Samia afanya Mabadiliko ya Makatibu Tawala na Wakurugenzi Watendaji Serikali za Mitaa

Huyo ni mdogo wake Nape siyo mtoto wake!
 
Aliyekuwa mkurugenzi wa mkuranga hana chembe ya maadili ya kazi wamemtoa hafai yule na hajui uongozi wamepelekwa Igunga kazi wanayo
Igunga aje vizuri, vinginevyo atakuwa anaamka yuko majaruba anapalilia au anavuna mpunga!
 
Kuna Ma Ded, walopata Hati Safi, ila Wameondolewa kwakua walikua na Uhusiano wa Moja Kwa Moja na Serikali ya JPM.


Kuna Maded walochaguliwa na Samia siku za nyuma Kisha akawatumbua Kwa Ufisadi, Maajabu Sasa amewarudisha Tena ,Sasa Sijui wamemuahidi hawatorudia 🤣🤣.


Sina hakika sana, kama angalau anajua kua Kuna watu kawateua ,ndio walewale alowafukuza ...Sina hakika sana maana SI MSOMI.



AMININI NAWAMBIA, SSS HUYU HUWA HASOMI, HANA KUMBUKUMBU, KAZI YAKE NI KUSAINI TU AKILETEWA , NI HATARI SANA NCHI KUONGOZWA NA MWANAMKE, NI HATARI SANA.
 
Imebakia kuteua wakurugenzi njaa wakaibe kura 2025. Ujinga mwingi.
 
naona NTELA MWAMPAMBA hapo! mzee wa kudandia wake za watu! songea ukimwi nje nje kila la kheri malaya wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu alitumbuliwa na Magu, leo katupwaa home kwetuu, bora angepelekwa Handeni kwa baby mama wake kidotiii.
 
Magufuli kumbe alimpa mwanae Ruth,ukatibu tawala. Yule aliyekuwa Kisarawe hajarudishwa tu kwenye ukatibu tawala, yule alitolewa na Magufuli kisa alimkula Jocate.
Kapelekwaa Kwetu Songea. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tunawakumbusha Swala la Uteuzi na Fei Kwenda Azam lisitutoe kwenye BANDARI KUCHUKULIWA NA KINA ABIBII.
 
Kwenye majina ya wakurugenzi namba 98 naona mzimu wa moses nauye unazidi weka mizizi haya bwana peaneni tu tutafanyaje sasa nchi yenu hii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu asiwaondoeni kwenye Reli.

Bandari Inauzwa Bandari Inauzwa
Hao hao hao Kamata hao, kamata hao, shika hao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaaaaaa
 
Hiki ndo anakiuweza kwa 100%
 
Kila la heri kwa wateuliwa aaamin[emoji120]

Mh.Rais SSH ana nia njema ya maendeleo ya taifa letu pendwa [emoji106]

#SiempreJMT[emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…