Rais Samia afanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Afrika Mashariki

Kwa akili yako hata wakiluwekea clip wewe utabisha kwa vile tayari umekuwa mtumwa wa shetani
Hahahahahahahahaaaaaaahaaaaa!

Kuna mada ilianzishwa juzi, ikimuombea kifo Mama yetu.....? Mungu ni mwema wataendelea kungoja na kusubiri kwa wakati mmoja Huku wakiteseka vibaya maana wataendelea kukuona akishughulika na shughuli zake kama kawa
 
Chawa Kwa lugha rahisi ni kumpa sifa kiongozi ambazo hastahili kupewa kwasababu zinakuwa ni sifa zilizozidi uwezo wake kwa kiingereza wanasema ‘exaggerated’ na lengo la uchawa ni kupata fursa au manufaa pasipo mastahili.
 
Ya kitambo sana hii
 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Veronika Mueni Nduva, alipofika Ikulu, Jijini Dar es Salaam leo November 11, 2024 ikiwa ni mara ya kwanza kukutana nae tangu Katibu Mkuu huyo aliposhika nafasi hiyo mwezi Juni, 2024.

Katika hatua nyingine Rais Samia amekutana na kufanya mazungumzo na Dkt. Tewodros Beleke Mkurugenzi wa Programu za Dunia na Mwakilishi wa Susan Buffet Foundation leo November 11, 2024 Ikulu Jijini Dar es Salaam.

My Take
Kwa leo sina cha kusema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…