Rais Samia afanya uteuzi mpya na mabadiliko ya viongozi, MwanaFA ateuliwa kuwa Naibu Waziri

na hii ndo concept mkuu kila mtu anataka kufanya kazi na wat anaowamini .
 
Mh Mama Samia usituache sisi watumishi tuliteseka wakati wa marehemu hakuongea mshahara Kwa miaka mitano tukumbukeeeeeeeeeeee Hali ngumu
 
Mtaalam wa fedha kama Charles kimei, anayejua maswala ya kiuchumi hasa fedha sielewi kwa nini anaachwa nje hata ushauri tu kwa rais, Jamaa anajua jinsi ya kucheza na kidogo mpaka kikawa kikubwa na kikaimarika!, na kuheshimika.
 
Mtaalam wa fedha kama Charles kimei, anayejua maswala ya kiuchumi hasa fedha sielewi kwa nini anaachwa nje hata ushauri tu kwa rais, Jamaa anajua jinsi ya kucheza na kidogo mpaka kikawa kikubwa na kikaimarika!, na kuheshimika.
Wachaga watulie kwanza pembeni. DR. KIMEI Alijaza Wachaga CRDB
 
Hatimae naibu wa mifugo kawa waziri,Karoga sana.Kweli uchawi upo. Pole waziri wa mifugo.
Mama asante sana kwa kumuondoa huyu fisadi ndaki, ametuchelewesha sana kuanza mradi wako kwa tamaa zake za pesa za RIBA. Mabilioni yako yamewekwa FIXED ACCOUNT leo ni MWEZI WA SITA SASA bado hatuja anza mradi. ASANTE SANA MH. RAIS, WAVUVI TUKO PAMOJA NA WEWE
 
Huo ni mtazamo wako kwa jinsi upeo wako na resources ulizonazo vinapoishia, hawa wanaofanya vetting plus 'referees' wao wanaowabeba kwenye mbeleko upeo wao na resources walizonazo vinawapa majibu tofauti.
 
Huko tumejaa siku zote tangia uhuru, lkn political representation ni muhimu pia kwani huko ndiyo maamuzi yanayoathiri maisha ya watu kwa ujumla yanapofanyika!
Siasa ni kipaji mzee kama huiwezi hata uwende kwa mganga utaangukia pua tu wachache wanaoweza wacha waendelee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…