NYANYADO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 3,804
- 2,482
Alikuwa Kanyasu awamu ilopita.Yaani mawaziri ni Tanga, Pwani, Zanzibar. Mikoa mingine mmoja mmoja sana.
Mara haina waziri, Simiyu haina waziri. Shinyanga sijui kama yupo, Geita sijui kama yupo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa Kanyasu awamu ilopita.Yaani mawaziri ni Tanga, Pwani, Zanzibar. Mikoa mingine mmoja mmoja sana.
Mara haina waziri, Simiyu haina waziri. Shinyanga sijui kama yupo, Geita sijui kama yupo.
na hii ndo concept mkuu kila mtu anataka kufanya kazi na wat anaowamini .Watu walilalamika sana tu na Mwendakuzimu alikuwa akifanya upendeleo wa kiboya sana na huyu bi Urojo karudia yaleyale in reverse order, kwenye hili la upendeleo wa kiimani na kikanda wote ni walewale.
Sometimes kila kiongozi anataka kuwa na timu anayoiamini kwa dhati kuwa ni timu yake yaani asiwe na snitches among his/her team.
Sasa uvutaji wa bangi una tatizo gani ?Bangi itaanza kuvutwa wizarani sasa
Bado babu tale.
Mama amepuyanga
Kweli mwanamke nimmwanamke tu
Kwani bangi ina tatizo gani?!,kama ww una matatizo na bangi basi ni weweShida sio elimu yake shida ni bangi anazovuta adharani
Unalala ofisi ipo posta Samora Avenue. Ukiamka unaikuta mpingo house . Jirani na Keko mwangaTanzania, unalala jioni ukihamuka asubuhi una cheo ama umebadilishwa ama umetenguliwa
Mimi binafsi nachokiangalia kwa kiongozi ni impact aliyonayo kwa jamii katika majukumu aliyopewa, masuala yake ya kiimani binafsi sina muda nayo.na hii ndo concept mkuu kila mtu anataka kufanya kazi na wat anaowamini .
Wachaga watulie kwanza pembeni. DR. KIMEI Alijaza Wachaga CRDBMtaalam wa fedha kama Charles kimei, anayejua maswala ya kiuchumi hasa fedha sielewi kwa nini anaachwa nje hata ushauri tu kwa rais, Jamaa anajua jinsi ya kucheza na kidogo mpaka kikawa kikubwa na kikaimarika!, na kuheshimika.
Mama asante sana kwa kumuondoa huyu fisadi ndaki, ametuchelewesha sana kuanza mradi wako kwa tamaa zake za pesa za RIBA. Mabilioni yako yamewekwa FIXED ACCOUNT leo ni MWEZI WA SITA SASA bado hatuja anza mradi. ASANTE SANA MH. RAIS, WAVUVI TUKO PAMOJA NA WEWEHatimae naibu wa mifugo kawa waziri,Karoga sana.Kweli uchawi upo. Pole waziri wa mifugo.
Huo ni mtazamo wako kwa jinsi upeo wako na resources ulizonazo vinapoishia, hawa wanaofanya vetting plus 'referees' wao wanaowabeba kwenye mbeleko upeo wao na resources walizonazo vinawapa majibu tofauti.Hii Dunia haipo fair yaan Mwana FA anamzidi maono kaka etu ndugu yetu mwanajukwaa nguli paschal Mayalla
Ni muda Sasa wa brother kupewa nafasi.....sijawai kuona potentiality ya Mwana FA Zaid ya kwenye sanaa ya mziki.....
Ila kaka paschal tuponae humu tunamsoma humu......
HahahahaahaahahhaaaaUngekuwa na nguvu ungemnyosha naona.
Siasa ni kipaji mzee kama huiwezi hata uwende kwa mganga utaangukia pua tu wachache wanaoweza wacha waendelee.Huko tumejaa siku zote tangia uhuru, lkn political representation ni muhimu pia kwani huko ndiyo maamuzi yanayoathiri maisha ya watu kwa ujumla yanapofanyika!
Hiyo nyoo.Sio kwa urefu ule.Hahahahaahaahahhaaaa
Mashimba acha tu apumzishwe, ametuchelewesha sana Wavuvi kuanza mradiUchawi upo,pole Mashimba.Naibu waziri wako aliitaka sana nafasi yako hatimae kaipata. Ni kama Ridhiwan alivyokuwa anaitaka nafasi ya Angela Mabula.
Jamaa ana hamu ya kuisema Bangi vibaya.Kwani bangi ina tatizo gani?!,kama ww una matatizo na bangi basi ni wewe