Rais Samia afanya uteuzi mpya na mabadiliko ya viongozi, MwanaFA ateuliwa kuwa Naibu Waziri

Rais Samia afanya uteuzi mpya na mabadiliko ya viongozi, MwanaFA ateuliwa kuwa Naibu Waziri

Watu walilalamika sana tu na Mwendakuzimu alikuwa akifanya upendeleo wa kiboya sana na huyu bi Urojo karudia yaleyale in reverse order, kwenye hili la upendeleo wa kiimani na kikanda wote ni walewale.
Sometimes kila kiongozi anataka kuwa na timu anayoiamini kwa dhati kuwa ni timu yake yaani asiwe na snitches among his/her team.
na hii ndo concept mkuu kila mtu anataka kufanya kazi na wat anaowamini .
 
Mh Mama Samia usituache sisi watumishi tuliteseka wakati wa marehemu hakuongea mshahara Kwa miaka mitano tukumbukeeeeeeeeeeee Hali ngumu
 
Mtaalam wa fedha kama Charles kimei, anayejua maswala ya kiuchumi hasa fedha sielewi kwa nini anaachwa nje hata ushauri tu kwa rais, Jamaa anajua jinsi ya kucheza na kidogo mpaka kikawa kikubwa na kikaimarika!, na kuheshimika.
 
Mtaalam wa fedha kama Charles kimei, anayejua maswala ya kiuchumi hasa fedha sielewi kwa nini anaachwa nje hata ushauri tu kwa rais, Jamaa anajua jinsi ya kucheza na kidogo mpaka kikawa kikubwa na kikaimarika!, na kuheshimika.
Wachaga watulie kwanza pembeni. DR. KIMEI Alijaza Wachaga CRDB
 
Hatimae naibu wa mifugo kawa waziri,Karoga sana.Kweli uchawi upo. Pole waziri wa mifugo.
Mama asante sana kwa kumuondoa huyu fisadi ndaki, ametuchelewesha sana kuanza mradi wako kwa tamaa zake za pesa za RIBA. Mabilioni yako yamewekwa FIXED ACCOUNT leo ni MWEZI WA SITA SASA bado hatuja anza mradi. ASANTE SANA MH. RAIS, WAVUVI TUKO PAMOJA NA WEWE
Ukuzaji viumbe maji - Mifugo & Uvuvi.PNG
 
Hii Dunia haipo fair yaan Mwana FA anamzidi maono kaka etu ndugu yetu mwanajukwaa nguli paschal Mayalla
Ni muda Sasa wa brother kupewa nafasi.....sijawai kuona potentiality ya Mwana FA Zaid ya kwenye sanaa ya mziki.....

Ila kaka paschal tuponae humu tunamsoma humu......
Huo ni mtazamo wako kwa jinsi upeo wako na resources ulizonazo vinapoishia, hawa wanaofanya vetting plus 'referees' wao wanaowabeba kwenye mbeleko upeo wao na resources walizonazo vinawapa majibu tofauti.
 
Huko tumejaa siku zote tangia uhuru, lkn political representation ni muhimu pia kwani huko ndiyo maamuzi yanayoathiri maisha ya watu kwa ujumla yanapofanyika!
Siasa ni kipaji mzee kama huiwezi hata uwende kwa mganga utaangukia pua tu wachache wanaoweza wacha waendelee.
 
Back
Top Bottom