Kisa anachukia mziki,basi anamchukia hadi mtunzi au muimbaji,usikute akawachukia hadi mashabiki wake!!Ni msomi wa masters tena kutoka abroad. Au mziki unakuchanganya?
Acha USUMBUFU ndugu, Ridhiwan hafai kuwa Waziri. Hajui lolote ni kubebana tuKwa mujibu wa maandishi yako mkuu.
Labda ulikusudia kufikisha ujumbe tofauti.
Kisiasa Kimei ni mdogo sana hata ukimlinganisha tu na Dr Msukuma. Siasa za majukwaani Kimei sio line yake kabisa. Yuko sehemu isiyo sahihi.Mtaalam wa fedha kama Charles kimei, anayejua maswala ya kiuchumi hasa fedha sielewi kwa nini anaachwa nje hata ushauri tu kwa rais, Jamaa anajua jinsi ya kucheza na kidogo mpaka kikawa kikubwa na kikaimarika!, na kuheshimika.
Wanasema tatizo kua Mwana FA wizara ya Sanaa na michezo haiwezi, Bora Mama angemuweka angalau kua Naibu Waziri wa fedha, maana Mwana FA alisha wai piga kazi NMB pale Victoria, na ana Masters ya Mambo ya finance!!Sijaona tatizo
PDF lishawasiliMkeka tunaousubili Bado huu ni kama utangulizi tu
Ooh kumbe 😅😅Wanasema tatizo kua Mwana FA wizara ya Sanaa na michezo haiwezi, Bora Mama angemuweka angalau kua Naibu Waziri wa fedha, maana Mwana FA alisha wai piga kazi NMB pale Victoria, na ana Masters ya Mambo ya finance!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Ila alikua mtu mzuri, boss wangu alikua anamsifia sana,mara moja moja anapeleka briskef imejaa zawadi🤷🏼♂️Wachaga watulie kwanza pembeni. DR. KIMEI Alijaza Wachaga CRDB
Hakuna fitina yoyote, Mashimba amekalia pesa zetu Wavuvi MIEZI SITA SASA ili apate RIBA. Mambo yamekorogeka dakika za majeruhi..Mashimba amefanyiwa fitina za muda mrefu na naibu wake
Dah
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mkuu MwanaFA is a man from the streets.Ni yupi huyo mwanaFA, mkuu 'Jidu'?
Ni kwa kuwatendea haki wasomaji wa mada yako, ukaishia hapo kwenye mistari miwili, basi!
Tumevuta nae upanga miaka hiyo
Wakati wa jakaya kikwete, na awamu zilzopita kabla ya kikwete.Lini hiyo?
Wanasemaga dugu moya.
| School Name/Location | Course/Degree/Award | From | To | Level |
|---|---|---|---|---|
| Coventry University | Masters of Science in Finance | 2009 | 2010 | Masters Degree |
| Institute of Finance Management (IFM). | Diploma in Insurance | 2004 | 2007 | Diploma |
| Institute of Finance Management (IFM). | Certificate in Infromation Tehnoloy | 2003 | 2004 | Certificate |
| Company/Institution | Position | From | To |
|---|---|---|---|
| BASATA | Board Member | 2018 | To date |
| Private | Musician | 0000 | 0000 |
| Falsafa Enterprise | Chief Executive officer | 2018 | To date |
| Political Party | Position | From | To |
|---|---|---|---|
| BASATA | Board Member | 2018 | To date |
| Local Authorities Accounts Committee | Member | 2021 | 2023 |
| Parliament of Tanzania | Member of the Parliament | 2020 | 2025 |
O level kasoma Tanga Secondarywewe unaekataa tuambie kasoma wapi O-level na ukitaka ushahidi nakupa.
Yule alikuwa small house,hata mi ningefanya vile,badala ya kumpa hela ya natumizi unampa cheo alipwe kwa kodi za akina @ victoireMagufuli alipoteua Jokate mmesahau?
| School Name/Location | Course/Degree/Award | From | To | Level |
|---|---|---|---|---|
| Coventry University | Masters of Science in Finance | 2009 | 2010 | Masters Degree |
| Institute of Finance Management (IFM). | Diploma in Insurance | 2004 | 2007 | Diploma |
| Institute of Finance Management (IFM). | Certificate in Infromation Tehnoloy | 2003 | 2004 | Certificate |
| Company/Institution | Position | From | To |
|---|---|---|---|
| BASATA | Board Member | 2018 | To date |
| Private | Musician | 0000 | 0000 |
| Falsafa Enterprise | Chief Executive officer | 2018 | To date |
| Political Party | Position | From | To |
|---|---|---|---|
| BASATA | Board Member | 2018 | To date |
| Local Authorities Accounts Committee | Member | 2021 | 2023 |
| Parliament of Tanzania | Member of the Parliament | 2020 | 2025 |
Uchawi upo,pole Mashimba.Naibu waziri wako aliitaka sana nafasi yako hatimae kaipata. Ni kama Ridhiwan alivyokuwa anaitaka nafasi ya Angela Mabula.
Alafu aje uwanja wa Taifa kuangalia game na Suti yake!![emoji1]Wanataka wizara ya sanaa apelekwe balozi mulamula [emoji2]
Mkenda wa wizara ya elimuHahaha Wasukuma kama Wachaga tu sijaona Mchaga hata mmoja popote, angalau Wasukuma bado bado masalia yapo, ila Wachaga duh labda tusubiri Kimei kwa maana ana bidii sana huenda next time watamkumbuka, …