[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naogopaaaa, sisemi kitu mie.Mwaka 2025 kama Watanzania wanajitambua atapanguliwa yeye,na kama uchaguzi utafanyika Kwa katiba hii hii baaaaaaasi.
Nakubaliiiiii.Hivi kwa akili ya kawaida tu Rizi ni mtu wakumfanyia fitna Mabula ili apewe hiyo nafasi?
Mtoto wa Rais mstaafu hawezi kufanya ujinga huo kwakuwa hiyo nafasi hahitaji kugombania bali ikipigwa simu moja tu atachagua nafasi aitakayo kwenye baraza.
Yule anabadilishwa kwa lengo la kuwa waziri kamili wala hahitaji hizo fitna unazosema.
Fitna wanafanya watoto wa masikini waliobahatika kupata vyeo ili waaminiwe zaidi.
Sio Advanced Diploma? Mbna sijui km ni Degree?Hakika ni msomi mbobezi, ana degree ya IFM,Pia masters ya uingereza - Coventry. Yuko vyedi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila nyie watu khaaahAnamjua sana. Hakuna mtu anayefuatilia haya mambo ya hovyo vya mtandaoni kama huyu mama. Wasanii, wauza sura wote etc ni mashujaa wa huyu mama.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yule alikuwa small house,hata mi ningefanya vile,badala ya kumpa hela ya natumizi unampa cheo alipwe kwa kodi za akina @ victoire
Hujaelewa pekee yako, wengine walielewa ndo maana hawakusumbuka kuniuliza uliza.Siwezi kukuhoji kila mmoja ana haki ya kutoa maoni bila kuulizwa. Suala la kuelewa maoni yako ni letu. Ungetaka tuelewe kama upendavyo usingeandika maneno yenye utata.
Hesabu hazikai 😅Naona mama panga pangua kila mwezi...
Unautafsiri uwezo mdogo katika maswala yapi na nyanja zipi pamoja na vitendo vipi?! Wewe unamfahamu Ridhwaan vizuri kwa karibu na umewahi kubahatika kufanya naye kazi?! Au hata kuonana naye mkazungumza kisha ukamu-observe na ukagundua uwezo wake ni mdogo?!Uwezo mdogo sana
Ulikuwa idara gani IFM na ulikuwa pale mwaka gani?!Yaishie hapo
Mwana FA kapelewa Wizara anayoijua vema. Ulitaka wizara inayohusika na sanaa na michezo awekwe Gwajima!!!??Hii nchi,imelogwa ikalogeka kuliko alivyotaka mchawi,
Unamfukuza William lukuvi wizara ya ardhi,unamuweka Mwanafa kwenye baraza la mawaziri,
System ilisema Nehemiah mchechu ni mchafu,sasa hv amepelekwa hazina kabisa.
NdioUnautafsiri uwezo mdogo katika maswala yapi na nyanja zipi pamoja na vitendo vipi?! Wewe unamfahamu Ridhwaan vizuri kwa karibu na umewahi kubahatika kufanya naye kazi?! Au hata kuonana naye mkazungumza kisha ukamu-observe na ukagundua uwezo wake ni mdogo?!
Akikujibu ni tag mwambaUnautafsiri uwezo mdogo katika maswala yapi na nyanja zipi pamoja na vitendo vipi?! Wewe unamfahamu Ridhwaan vizuri kwa karibu na umewahi kubahatika kufanya naye kazi?! Au hata kuonana naye mkazungumza kisha ukamu-observe na ukagundua uwezo wake ni mdogo?!
Kabisa wizara hiyo imemfaaaMwana FA kapelewa Wizara anayoijua vema. Ulitaka wizara inayohusika na sanaa na michezo awekwe Gwajima!!!??
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Certificate ya Information TechnologyHakika ni msomi mbobezi, ana degree ya IFM,Pia masters ya uingereza - Coventry. Yuko vyedi
Yes, advanced diploma which is equivalent to degreeSio Advanced Diploma? Mbna sijui km ni Degree?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi naona hata yeye Mwenyewe ajiondoe tu maana heleweki anachofaya.
Yupo kama nyoka haeleweki kalala au amekaa
Wewe ni mwalimu?Angalau mwanafunzi wangu kaukwaa uwaziri!
Katuhumiwa na NYOOOOO?NYOOOOO