Rais Samia afanya uteuzi mpya na mabadiliko ya viongozi, MwanaFA ateuliwa kuwa Naibu Waziri

Kazi za waziri ni mwakilishi wa rais katika wizara hio kwa upande wa sera na siasa.

Wizara utatetereka au kuimarika kupitia Katibu Mkuu na makatibu wengine na wataalamu husika wa hio wizara, kwa hiyo basi tusitegemee mabadiliko positive au negative kwa mabadiliko ya waziri au naibu waziri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…