Rais Samia afanya uteuzi mpya na mabadiliko ya viongozi, MwanaFA ateuliwa kuwa Naibu Waziri

Rais Samia afanya uteuzi mpya na mabadiliko ya viongozi, MwanaFA ateuliwa kuwa Naibu Waziri

halaf kwanini ndugu zetu mmeibeba hiyo kama agenda ..kipindi cha mwenda zake baraza la mawaziri na Makatibu wa kuu musilam unatafuta kwa tochi ila hakuna aliekua akilalamika ..msiwe Ivo ndugu zetu hii inchi ni yetu sote..twende na jina tanzania
Nakuunga mkono ni zamu ya wavaa misuli. Wafanye watulie, kipindi Cha mzilakende hadi vyeo vya idarani walipeana wale ndugu
 
Back
Top Bottom