Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,356
- 38,922
Chadema imejaa wanyakyusa sugu na wahehe wakina msigwa.Hawa walioko Chadema?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chadema imejaa wanyakyusa sugu na wahehe wakina msigwa.Hawa walioko Chadema?!
Humu ndo tunapotakiwa kuishi ..imefkia Sasa watu wa manyara nao wanataka waone mtu wao ,wa pwani wa zanzibari..waislam wakristo ,so ili wat wasiseme rais inabd abalance vyote hivyo kitu ambacho sio sawa..uwezo wa mtu umuweke kwenye position na sio kingine.Mimi binafsi nachokiangalia kwa kiongozi ni impact aliyonayo kwa jamii katika majukumu aliyopewa, masuala yake ya kiimani binafsi sina muda nayo.
Mediocre tena?...jamaa ni msomi mzuri tuUteuzi wa mediocre personalities sasa umezidi!
Sina la kuongeza ila mama umeingia kwenye mtego wa maono wananchi tusiyoyajua.
Highly likely ukawa sahihi.Nina hakika 100% Samia hamjui Mwana FA .
Yaan jina aloletewa, siku anamuapisha ndio atamjua, alaaah kumbe nmemchagua Mwana FA🤣🤣
Ndiyo unaweza hata kulala usingizi, siyo unamuweka mtu karibu lakini hauna uhakika kama given a chance anaweza akakuwekea sumu kwenye chakula au kukufanyia lolote baya. Imagine watu wa legacy(Sukuma gang) wanavyotamani afe ndiyo uwape nafasi ya kuwa karibu naye bi Urojo, fasta tu wanamuelekeza kibra.na hii ndo concept mkuu kila mtu anataka kufanya kazi na wat anaowamini .
Rais mwenyewe!Kwangu mimi inanipa picha kuwa tuna lundo la watu incompetent, ndio maana kuna kupwaya sana
Wanawake wa siku hizi mna vitisho sana, kwahiyo unaninyamazisha kama unavyofanya kwa mumeo?!Mtoto wa kiume hafai kuwa na taarabu nyingi hivyo, badilika.
Lini hiyo?Wakati ule ambao nusu ya baraza la mawaziri walikuwa wanatokea Arusha, Kilmanjaro na Manyara ilikuwa zamu ya nani ?
Sisi Wavuvi tutapata AHUENI ndugu, bwana YULE alituminya sanaWameamua kutupoteza ila hawataweza, bila mifugo nchi hii mikoa mingi ingekuwa na umaskini wa kutisha.
Ngoja tuone their next move, ila natabiri kilio kwa wafugaji.
Duh twafa
Wasioelewa hii Equation watapata tabu sanaMwana FA = Salah/ Silent Ocean= GSM= Msoga
Yaani Jamaa ana dharau utazani yeye ndiyo kawauumba Wanadamu wote hapa Duniani,wakati yeye mwenyewe kaumbwa na kuna watu wengine nao wanamuona fyoko tu,sema hajijui!!Acha dharau mkuu...
Sahihi kabisa kiongoziTatizo tunachukulia Uongozi kama zawadi. We badly need Leaders not Politicians with zero vision
Sugu ni Mkinga na Msigwa ni Muwanji wote kutoka Makete NjombeChadema imejaa wanyakyusa sugu na wahehe wakina msigwa.
WATU WENYE SIFA za KUTEULIWA wamekwisha mpaka Wasanii ambao hawajawahi hata Kufanya KAZI popote?Tusitarajie MABADILIKO kwa TEUZI za Aina hiiUteuzi wa mediocre personalities sasa umezidi!
Sina la kuongeza ila mama umeingia kwenye mtego wa maono wananchi tusiyoyajua.
MbonaMbowe anavuta na anaongoza CHADEMABangi itaanza kuvutwa wizarani sasa
Bado babu tale.
Mama amepuyanga
Kweli mwanamke nimmwanamke tu
Kabisa mkuu .Tena niseme Mungu katubariki Sana watanzania tuna hata ile kuaminiana kidogo..serikali nyingi Sana za Africa wat wanaomzunguka mkuu watu wa ukoo wake tupu..kagame apo Rwanda na museveni ni mifano ya karibu.Ndiyo unaweza hata kulala usingizi, siyo unamuweka mtu karibu lakini hauna uhakika kama given a chance anaweza akakuwekea sumu kwenye chakula au kukufanyia lolote baya. Imagine watu wa legacy(Sukuma gang) wanavyotamani afe ndiyo uwape nafasi ya kuwa karibu naye bi Urojo, fasta tu wanamuelekeza kibra.