Rais Samia afanya uteuzi mpya na mabadiliko ya viongozi, MwanaFA ateuliwa kuwa Naibu Waziri

Rais Samia afanya uteuzi mpya na mabadiliko ya viongozi, MwanaFA ateuliwa kuwa Naibu Waziri

Mimi binafsi nachokiangalia kwa kiongozi ni impact aliyonayo kwa jamii katika majukumu aliyopewa, masuala yake ya kiimani binafsi sina muda nayo.
Humu ndo tunapotakiwa kuishi ..imefkia Sasa watu wa manyara nao wanataka waone mtu wao ,wa pwani wa zanzibari..waislam wakristo ,so ili wat wasiseme rais inabd abalance vyote hivyo kitu ambacho sio sawa..uwezo wa mtu umuweke kwenye position na sio kingine.
 
Sijaona tatizo la kumteua mwana FA ni msomi mzuri na ana experience na wizara hiyo mleta uzi acha wivu.

Kama kina Juliana Shonza waliweza atashindwa nino Fa bwana?
 
na hii ndo concept mkuu kila mtu anataka kufanya kazi na wat anaowamini .
Ndiyo unaweza hata kulala usingizi, siyo unamuweka mtu karibu lakini hauna uhakika kama given a chance anaweza akakuwekea sumu kwenye chakula au kukufanyia lolote baya. Imagine watu wa legacy(Sukuma gang) wanavyotamani afe ndiyo uwape nafasi ya kuwa karibu naye bi Urojo, fasta tu wanamuelekeza kibra.
 
Uteuzi wa mediocre personalities sasa umezidi!
Sina la kuongeza ila mama umeingia kwenye mtego wa maono wananchi tusiyoyajua.
WATU WENYE SIFA za KUTEULIWA wamekwisha mpaka Wasanii ambao hawajawahi hata Kufanya KAZI popote?Tusitarajie MABADILIKO kwa TEUZI za Aina hii
 
Acheni wivu Mtu Kujitambua kawekeza katika Elimu na Maisha aendekezi Pombe na Malaya sasa mnataka Nini tena wabongo
 
Ndiyo unaweza hata kulala usingizi, siyo unamuweka mtu karibu lakini hauna uhakika kama given a chance anaweza akakuwekea sumu kwenye chakula au kukufanyia lolote baya. Imagine watu wa legacy(Sukuma gang) wanavyotamani afe ndiyo uwape nafasi ya kuwa karibu naye bi Urojo, fasta tu wanamuelekeza kibra.
Kabisa mkuu .Tena niseme Mungu katubariki Sana watanzania tuna hata ile kuaminiana kidogo..serikali nyingi Sana za Africa wat wanaomzunguka mkuu watu wa ukoo wake tupu..kagame apo Rwanda na museveni ni mifano ya karibu.
 
Back
Top Bottom