Rais Samia afanya Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Taasisi: Hamduni-TAKUKURU, Makala-Dar, Kafulila-Arusha, Chalamila-Mwanza, Sendiga-Iringa, Makongoro...

Rais Samia afanya Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Taasisi: Hamduni-TAKUKURU, Makala-Dar, Kafulila-Arusha, Chalamila-Mwanza, Sendiga-Iringa, Makongoro...

Salaam Wakuu, Huu ndo uteuzi rais kafanya.

Rais Samia afanya Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Taasisi: Bw. Mwakitalu kuwa Mkurugenzi wa Mashitaka(DPP), Hamduni Mkuu wa TAKUKURU, Amos Makala kawa mkuu wa Mkoa wa Dar, Kafulila kawa mkuu wa Mkoa Arusha, Chalamila kawa mkuu wa Mkoa Mwanza, Queen Sendiga kawa mkuu wa Mkoa Iringa, Makongoro Nyerere kawa mkuu wa Mkoa Manyara.

Chalamila kawa mkuu wa Mkoa Mwanza, Kunenge kawa mkuu wa Mkoa wa Pwani, Kagaigai kawa mkuu wa Mkoa KIlimanjaro, Ali Hapi kawa mkuu wa Mkoa Tabora. Anna Mngwira amesitaafu. Mbungo wa TAKUKURU atapangiwa kazi nyingine.
View attachment 1785850
View attachment 1785846
View attachment 1785849
HAPI HAPI HAPI HAPI....

HONGERA ZAKE KOMREDI ALLY SALIM HAPI.....

Wenye FITNA HOI....

SIASA NI SAFARI WAZEE🤣🤣🤣🤣
 
Mwambie ajie Dar Gymkhana club over 40 tunacheza kila Jumanne na Alhamisi.Tulikuwa na Striker hatari Mhe.Masauni siku hizi simuoni!
Alivo kua moshi jioni zoezi ana pigia moshi club, huwezi mshtukia kama ni mkuu
 
Kigaigai ameondolewa kama katibu wa bunge, ameletwa katibu mwingine ambaye ataenda kusimamia haki na utawala bora bungeni. Kongole nyingi kwa mama.
 
Chalamila yuko pale pale kama mkuu wa mkoa. Kelele za kina Maria Sarungi hazijasikilizwa.

Hamduni afanye kazi kitaalam, aachane na vitisho vya magwanda ya kijeshi kama ya aliemtangulia. Akumbuke PCCB ni law enforcement agency or investigative services hivyo afanye kazi kitaalam.
Mbungo alikuwa anapenda sana zile sare.
 
Nipate tabu ya nini, kubadilisha badilisha watu kunaondoa consistency.

Chukulia mtu kama Jokate ana plan zake kibao Kisarawe kesho umtoe umpleke sijui Rukwa si anaenda kuanza upya tena, huyo atakaenda huko ataendeleza legacy zake?

Kubadilisha badilisha watu vituo vya kazi ni mambo ya kishamba tu.
Naunga mkono hoja sioni mantiki ya kubadilsha kituo sababu kama anafaa basi wananchi wa mkoa huo wanastahili huyo mtu sio mkoa mwingine kama hafai nikuweka mtu mwingine tu sio leo yuko hapa kesho yuko pale mimi sielewi sababu. Huwezi kuwa mkuu wa mkoa mzuri tu mfano Moro halafu kesho unapelekwa Iringa je watu wa Moro hawastahili kuwa na mtu mzuri. Mimi nadhani either your IN or Out. Naunga hoja ni ushamba.
 
Back
Top Bottom