cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Chalamila na Hapi wako ulingoni tena? huyu mama vipi? Khaaaaaah
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HAPI HAPI HAPI HAPI....Salaam Wakuu, Huu ndo uteuzi rais kafanya.
Rais Samia afanya Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Taasisi: Bw. Mwakitalu kuwa Mkurugenzi wa Mashitaka(DPP), Hamduni Mkuu wa TAKUKURU, Amos Makala kawa mkuu wa Mkoa wa Dar, Kafulila kawa mkuu wa Mkoa Arusha, Chalamila kawa mkuu wa Mkoa Mwanza, Queen Sendiga kawa mkuu wa Mkoa Iringa, Makongoro Nyerere kawa mkuu wa Mkoa Manyara.
Chalamila kawa mkuu wa Mkoa Mwanza, Kunenge kawa mkuu wa Mkoa wa Pwani, Kagaigai kawa mkuu wa Mkoa KIlimanjaro, Ali Hapi kawa mkuu wa Mkoa Tabora. Anna Mngwira amesitaafu. Mbungo wa TAKUKURU atapangiwa kazi nyingine.
View attachment 1785850
View attachment 1785846
View attachment 1785849
Alivo kua moshi jioni zoezi ana pigia moshi club, huwezi mshtukia kama ni mkuuMwambie ajie Dar Gymkhana club over 40 tunacheza kila Jumanne na Alhamisi.Tulikuwa na Striker hatari Mhe.Masauni siku hizi simuoni!
🤣🤣🤣Wapika majungu hoi....ha ha haChalamila na Hapi wako ulingoni tena? huyu mama vipi? Khaaaaaah
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Yaan kanishangaza San kwa kweli,Happy na Chalamila wanini tena jamani??
Sasa kama ni kitu kimoja mbona Mataga huwa mna bweka bweka hapa jukwaani mkimponda?Ndio utambue mama na JPM ni kitu kimoja....Mola akulinde mama...kazi iendelee
Raisi Samia tuletee makonda hapa Kilimanjaro amnyooshe mnywa konyagi na genge lake.
Kakufanya nini Hapi? Ni lipi kosa kubwa unahisi Rais alitakiwa kulijua ili amuondoe Hapi apewe mwingine?Hakuna jipya kihivyo! Kama Happy bado yumo sioni jipya hapo!
Mbungo alikuwa anapenda sana zile sare.Chalamila yuko pale pale kama mkuu wa mkoa. Kelele za kina Maria Sarungi hazijasikilizwa.
Hamduni afanye kazi kitaalam, aachane na vitisho vya magwanda ya kijeshi kama ya aliemtangulia. Akumbuke PCCB ni law enforcement agency or investigative services hivyo afanye kazi kitaalam.
mtaka dodomaAmos Makalla amerudishwa ulingoni,
Mtaka sijamuona.
Karibu Dar mh Makalla
Labda Queen SendigaAlisema atateua mpaka Wapinzani, Kulikoni ¿
Alisema atateua mpaka Wapinzani, Kulikoni ¿
MAKONDA imekuwaje tena? Huyu mama veepee? DAH!HAPI HAPI HAPI HAPI....
HONGERA ZAKE KOMREDI ALLY SALIM HAPI.....
Wenye FITNA HOI....
SIASA NI SAFARI WAZEE🤣🤣🤣🤣
Watu wa majungu hao....🤣🤣Kakufanya nini Hapi? Ni lipi kosa kubwa unahisi Rais alitakiwa kulijua ili amuondoe Hapi apewe mwingine?
Naunga mkono hoja sioni mantiki ya kubadilsha kituo sababu kama anafaa basi wananchi wa mkoa huo wanastahili huyo mtu sio mkoa mwingine kama hafai nikuweka mtu mwingine tu sio leo yuko hapa kesho yuko pale mimi sielewi sababu. Huwezi kuwa mkuu wa mkoa mzuri tu mfano Moro halafu kesho unapelekwa Iringa je watu wa Moro hawastahili kuwa na mtu mzuri. Mimi nadhani either your IN or Out. Naunga hoja ni ushamba.Nipate tabu ya nini, kubadilisha badilisha watu kunaondoa consistency.
Chukulia mtu kama Jokate ana plan zake kibao Kisarawe kesho umtoe umpleke sijui Rukwa si anaenda kuanza upya tena, huyo atakaenda huko ataendeleza legacy zake?
Kubadilisha badilisha watu vituo vya kazi ni mambo ya kishamba tu.