Rais Samia afanya ziara ya kushtukiza Kariakoo, Mbagala na Mwananyamala Jijini Dar

Hayati JPM alikuwa anatembea na mfuko wa pesa anawapa kina Peter Tino na nyingine anatoa mchango wa ujenzi wa vyoo vya sekondari mikoani, zile zilikuwa pesa zake binafsi au kodi zetu?.
Usiniletee mada ya takataka aliekufa for a good reason.Hiyo takataka tumeshaisahau.
 
Usiniletee mada ya takataka aliekufa for a good reason.Hiyo takataka tumeshaisahau.
Hoja yangu ni kuwa huyo ni rais wa nchi na ni mzazi mwenye ubinadamu.

Mshahara wake ni kodi zetu na marupurupu ya ofisi ni kodi zetu pia.

Huyo analo fungu kubwa tu la mengineyo ndio linatumika kwa masuala ya kijamii.
 
Huyo analo fungu kubwa tu la mengineyo ndio linatumika kwa masuala ya kijamii.
Hoja yangu ni kwamba hilo fungu lake kubwa ni kodi zetu ambazo hata kama akiamua kuzirudisha kwetu kwa njia ya kutoa huduma katika jamii hapaswi kusema kuwa anatupa zawadi wakati ni fedha zetu.
 
Hoja yangu ni kwamba hilo fungu lake kubwa ni kodi zetu ambazo hata kama akiamua kuzirudisha kwetu kwa njia ya kutoa huduma katika jamii hapaswi kusema kuwa anatupa zawadi wakati ni fedha zetu.
Tatizo lako ni lugha tu!!. Vipi kama yale mashuka kayanunua yeye na familia yake?. Asiseme mbele ya watu kisa atasimangwa na kodi tunazolipa?.

Mentality ya “kodi zetu” ni ya kimaskini.
 
Tatizo lako ni lugha tu!!. Vipi kama yale mashuka kayanunua yeye na familia yake?. Asiseme mbele ya watu kisa atasimangwa na kodi tunazolipa?.

Mentality ya “kodi zetu” ni ya kimaskini.
Rais ayanunue yale mashuka yeye kwa kipato kipi alicho nacho?!Halafu hoja kuu hapa ni kwamba pale Rais anapotoa huduma za kimaendeleo ambazo ni jukumu lake hapaswi kusema kuwa ametoa zawadi labda awe anaongea na matahira.Tunalipa kodi ili serikali itoe huduma za kimaendeleo pamoja na haki.

Pale serikali wanapokuwa wazembe katika kutoa huduma za kimaendeleo sehemu fulani kisha siku fulani wanaibuka na kutoa huduma hiyo na kudai kuwa wanatoa zawadi basi viongozi wa serikali hiyo watakuwa wana funza kichwani badala ya ubongo!
 
Kutoa mashuko imekuwa ni nongwa ya kisiasa!!

Serikali inayonunua mashine za mabilioni kila mwaka kiongozi wake akisema nimekuja na mashuka tayari ni kosa!!?

Kila kitu kinatazamwa kisiasa, kodi yangu na yako inafanya mengi makubwa hili la mashuka ni dogo sana.
 
Serikali inanunua mashine za mabilion kila mwaka kupitia process maalum ambapo budget hiyo hupitia kwanza bungeni,tenda kutangazwa na kadhalika.

Hawanunui mashine from nowhere na kutangaza kuwa ni zawadi wanatoa.Halafu ishu hapa siyo serikali kununua mashuka bali ni serikali kununua mashuka ambayo ni jukumu lake kufanya hivyo halafu inatangaza bila aibu kuwa imetoa zawadi kwa wananchi!Unatoa vipi zawadi kitu ambacho kisheria ni jukumu lako kufanya?!Na sisi wananchi tuanze kutangaza kuwa kulipa kodi ni zawadi tunatoa kwa Serikali?
 
Eti ziara ya kushtukiza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na wanyonge wanapiga makofi kibao!!! Bado tuna safari ndefu sana Mkuu.
Mabavicha mmekwama!

Yani hamjukikani kama mnamunga mkono mama au mnampinga yani mpo kama kinyonga!

Na 2025 itafika mkiwa ktika dilema hivi hivi!
 
Wewe utakua MPUSH ambaye anaona SGR, BOMBARDIER na flyover ukijumlisha mataa ya barabarani ndio maendeleo. I am sorry for you.
Kwako wewe maendeleo ni Samia kumwaga hela mtaani ili bavicha muwe mnaokota!

Nchi ina shida sana hii
 

..hata mimi nimeanza kuwa na mashaka na contractor wa sgr.

..Tazara ambayo ni 1800+ km kutoka Dar to Kapiri Mposhi ilijengwa na Wachina kwa miaka 5.

..nini kimesababisha contractor wa sgr ashindwe kukamilisha kipande kifupi cha Dar to Moro?

Cc Iselamagazi
 
Tulia wewe kima! Samia anawakomesha mataga na sukuma gang na isitoshe anarudisha hela mtaani ili bavicha muwe mnaokota
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…