Mkuu usinishane na Chizi maana utaonekana chizi pia 😄Chanzo cha uchumi wa Taifa tuache exageration. Stand ya Magufuli inakuaje chanzo kikuu cha uchumi wa Taifa. Au huelewi uchumi wetu unategemea nini?
Amekuwa live baada ya kufika, amefika kimya kimya bila kuwapa wahusika taarifa(huko ndio kushtukiza)Hili neno kushtukiza linatumika vibaya, mtu yuko live kwenye media mnasema kashtukiza
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwani Jiwe laanatullah anasemaje huko kuzimu aliko?
Ule ushuru wa magari madogo ni wizi mtupu. kuna vijana wamechapisha risiti zao wanajikusanyia pesa watakavyo. Naamini wanaungwa mkono na vigogo wa pale.tunamuomba pia afanye ziara stendi kuu ya mabasi ya Magufuli, maaana hapo pia ndio chanzo cha uchumi wa JiJi na Tz kwa ujumla.
Stendi ya kimataifa ya mabasi ya magufuli ni chanzo kikubwa cha uchumi wa Tanzania endapo tu, kutakuwa na uongozi imara.
tusisubiri watu waibe weee kisha badae aje CAG achunguze halafu ndipo tuchukue hatua, hii sio sawa kwa viongozi tuliowapa dhamana ya kusimamia.
, kwa nn mnasubiri wizi utokee halafu badae ndio tunachukua hatua! kwa nn tusichukue hatua mapema?
waswahili wanasema usipo ziba ufa utajenga ukuta mzima.
Msamehee bure,huyo anawaza kwa kutumia tumbo, ndiyo maana alivyosikia Mama yuko soko la Kariakoo basi tumbo tayari lishamcheza,anajua bei zitashuka sokoni, ndiyo maana hawaza hata flyover!! Yeye ni Misosi tu!!Baadaye lini sasa flyover zinahitajika sana, kuliko unavyofikiria wewe
Sio lazima BobT 675 BHB
Si wanasemaga gari ya Raisi ina nembo ya bibi na bwana. Kumbe sio lazima.
Ushindwe na ulegee mpaka nyuma.Tulicheleweshwa sana huku tunadanganywa na SGR na flyover ambazo hazitakaa ziishe.
SGR Ni Gbadolite Kama chattle.
Kawaziba midomo MATAGA kuwa hatoki ofisini hahahahaa shenzi kabisa
Watu wa chini ni nini?Leo Hata mimi kaniziba mdomo, hivi ndo inavyotakiwa, asiishie Kariakoo tu, ajitahidi kuiga mazuri ya magufuli aliyokua anayafanya kwa wananchi maskini.
Magufuli alikua ni raisi Lakini akiwa na wananchi wanyonge alijishusha na kuwafanya waamini kuwa wote ni binadamu tu tofauti Cheo.
Mama nae akiwa mjanja siku ajichanganye tu avae dela aingie uswahilin ajichanganye na wananchi kama mwenzie, magufuli aliwaheshimu sana watu wa hali ya chini
Kama unavyouza?Kama unataka pesa za haraka c ukauze makalio yako mxieew kupenda vya bure baada ya kufanya kazi , eti uachiwe pesa mxieew mbwa hizi kupenda mteremko
Watu wa chini ni nini?
We unataka afanye unavyotaka weweYeye haendi bandarini kama mwendazake?
Kama unavyouza?