Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Ataongelea sensa tu huyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TWe dogo acha ujinga. Usidhani humu kila mtu mtoto mwenzako.
Mode fungieni hawa watoto. Huyu tangu asubuhi anatuma vitu vya ajabu tu
Moderators siyo madikteta! Katoa maoni kutokana na anachokipitia, hayo ni maoni yake.We dogo acha ujinga. Usidhani humu kila mtu mtoto mwenzako.
Mode fungieni hawa watoto. Huyu tangu asubuhi anatuma vitu vya ajabu tu
MhKwa mara ya kwanza nitamsikiliza leo. Nimpime intelligence yake kwa uhakiki.
Rais wetu Ni akili kubwa Ndio maana unaona Mambo makubwa yakifanyika katika uongozi wake, hata usipomsikiliza wewe bado mamilioni ya watanzania ndani na nje ya nchi tutamsikiliza mh Rais wetu,Kwa mara ya kwanza nitamsikiliza leo. Nimpime intelligence yake kwa uhakiki.
Atakuwa anazungumzia zoezi la sensaH
Hivi kabla ya hotuba hakuna ajenda zinatumwa kwa wadau?
Sidhani kama atakuwa na jipya lolote.
Naamini atazungumza mengi Sana zaidi ya Hilo kwa kuwa mh Rais wetu kafanya mengi Sana ambayo angependa tuyaelewe sisi wananchi wake ambayo Ni familia yake kwa Sasa, kwa kuwa amejitolea maisha yake na muda wake kututumikiaAtakuwa anazungumzia zoezi la sensa
Tumemchoka , arudi kwao . Kama uongozi ndio hivyoRais Samia wa JMT atalihutubia Taifa saa 3 00 usiku huu
Usikose
Chanzo: ITV
Updates;
Rais wetu Samia Suluhu ni msikivu amekisikia kilio chetu cha Tozo.
Tujiandae tu kwa sensa hapo kesho,tuhesabiwe ndio tuende Bar.
Asipoongelea wizi uliobatizwa tozo, nahamia Zambia!Ataongelea sensa tu huyo.
Mapya Ni mengi Sana kwa kuwa Mambo anayoyafanya Ni mengi Sana, mikakati ya mh Rais wetu katika kuinua uchumi wa nchi yetu Ni mingi Sana, mahusiano mazuri anayoendelea kuyajenga na nchi mbalimbali yanazidi kuleta matunda kwa kufungua fursa mbalimbali za kibiashara na kiuwekezaji,
Jiandae kuhesabiwa kesho ili kumsaidia mh Rais wetu katika kupanga mipango na mikakati ya maendeleo ya nchi yetu
Kwako ndio unaona hivyo maana umepofushwa uelewa na umezoea na unapenda kudanganywa, mh Rais wetu anaongea ukweli na uhalisia wa Mambo, anaongea toka ndani ya moyo wake, anaeleza mpaka mwananchi wa kawaida anamuelewa, ndio maana anaendelea kukubalika na kupendwa na watanzania wote, mikakati yake Ni Ile inayotoa kipaombele Cha kuinua maisha ya mtanzania mnyonge asiye na sauti,Hana hotuba zenye mvuto
Mh
Rais wetu Ni akili kubwa Ndio maana unaona Mambo makubwa yakifanyika katika uongozi wake, hata usipomsikiliza wewe bado mamilioni ya watanzania ndani na nje ya nchi tutamsikiliza mh Rais wetu,
Ni akili kubwa mh Rais wetu Ndio maana unaona watanzania tukiendelea kuona namna anavyogusa maisha yetu watanzania, Ndio maana unaona katika uongozi wake wawekezaji na uwekezaji ukiongezeka hapa nchini siku Hadi siku
Diplomasia yetu inazidi kuimalika ndio maana unaona watalii wakimiminika baada ya mh Rais wetu kukutana na kufanya mazungumzo na makampuni mbalimbali ya utalii
Akili yako usiilinganishe na ya mh Rais wetu, uwezo huo huna na hutakaa uwe nayo
Naamini atazungumza mengi Sana zaidi ya Hilo kwa kuwa mh Rais wetu kafanya mengi Sana ambayo angependa tuyaelewe sisi wananchi wake ambayo Ni familia yake kwa Sasa, kwa kuwa amejitolea maisha yake na muda wake kututumikia