Rais Samia ahutubia taifa leo Agosti 22, 2022. Ametoa wito na kuwasihi Watanzania wote kujitokeza kuhesabiwa

Rais Samia ahutubia taifa leo Agosti 22, 2022. Ametoa wito na kuwasihi Watanzania wote kujitokeza kuhesabiwa

H
Asipoongelea wizi uliobatizwa tozo, nahamia Zambia!
Hamia tu, sisi tunaendelea kumuunga mkono mh Rais wetu katika ujenzi wa nchi yetu, changia tozo kwa maendeleo ya nchi yetu, hata ulaya wamechangishana Sana kufika hapo walipo fika Leo hii, walijifunga mikanda na kujinyima kufika hapo walipo, nasi twapaswa kujibana kidogo kuijenga nchi yetu, hatuwezi kuijenga nchi yetu kwa kuitegemea mikopo tu kwa kila kitu

Jiandae kuhesabiwa hapo kesho kumsaidia mh Rais wetu katika kupanga mipango ya maendeleo
 
Mh Rais yupo Sanaa tu Hadi 2030. Watanzania bado tunamhitaji Sanaa kuweza kututumikia maana ameonyesha uwezo mkubwa Sana ndani ya muda mfupi, tumeridhishwa na utendaji kazi wake ulio tukuka
Labda anajiuzulu[emoji23][emoji23]
 
K
Mtu anayelipwa mshahara anajitolea nini, akae pembeni kama amejitolea akae atakayelipwa mshahara.
Kazi anayoifanya mh Rais wetu Ni kubwa Sanaa, anafanya kazi usiku na mchana, anafanya kazi bila kupumzika, anafanya kazi ya kugusa maisha yetu bila kikomo, muda wote yeye Ni kazi tu

Jiandae kuhesabiwa hapo kesho
 
Huyu mama ni mkatili sana,Itakuwa anmsokiliza yule makamu wake anayeongea Kama ameweka mkaa wa moto mdomoni.
 
Kipindi zinapita hizo tozo alikuwa wapi? Au unataka kuleta unafiq hapa mkuu
Kiongozi mzuri hatakiwi kukurupuka kama mtangulizi wake.

Anaenda step by step hakuna Chuo cha kusomea Urais.
 
Kweli anagusa maisha ya watz kwa kuintroduce double taxation….Kwa taarifa yako anaenda kuua uchumi
Nchi yetu itajengwa na sisi watanzania,Sasa wewe unataka Nani atujengee nchi yetu tusipokuwa tayari kuijenga wenyewe kwa mikono yetu wenyewe, au unataka Nani abebe mzigo na wajibu wetu wa kuijenga nchi yetu
 
Mwigulu anadhani watz wote ni matajiri alilala akiamka anawaza tozo tu
 
K

Kazi anayoifanya mh Rais wetu Ni kubwa Sanaa, anafanya kazi usiku na mchana, anafanya kazi bila kupumzika, anafanya kazi ya kugusa maisha yetu bila kikomo, muda wote yeye Ni kazi tu

Jiandae kuhesabiwa hapo kesho

Kwa mshahara anaolipwa alale na kupumzika ili iweje?
 
Back
Top Bottom