Rais Samia aiingiza Tanzania kwenye orodha ya nchi 10 tajiri Afrika 2021

" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
 
Rekodi Nzuri sana hii,
 
Jamani is this a true assertion!?Sidhani,yaani kwa mwaka mmoja tu!Aliye contribute kwenye hiyo performance kama ni kweli sio kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa, ni Magufuli,sio Samia.So ili kutenda haki mpeni Hayati Magufuli his dues.Chuki haitawasaidia sana.Magufuli is simply the best President we have ever had.
 
Sio kweli lakini,
 
Huu ndiyo ujinga, Watanzania siyo wajinga...tunakopa Kila siku Hadi kujenga vyoo tunatafuta wafadhili halafu watu wanashabikia huu ujinga.......toeni sifa Kwa Rais anapofanya vizuri ila siyo huu undezi
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huu ndiyo ujinga, Watanzania siyo wajinga...tunakopa Kila siku Hadi kujenga vyoo tunatafuta wafadhili halafu watu wanashabikia huu ujinga.......toeni sifa Kwa Rais anapofanya vizuri ila siyo huu undezi
Mkuu huwa mimi siwaelewi WaTz.Anyway,labda nisi-generalize sana,ila simuelewi mtu anayeshabikia mikopo.Halafu imagine nyumbani kwako unaishi kwa kukopa kopa,hivi si aibu kwa mkeo na watoto.To me and any sensible person,kukopa ni aibu,however you put it.Sijui nini kimetutokea,mpaka tunaamini kwamba kukopa is fine,it is not,it is a shame.
 
Halafu mtu na akili timamu anakuja na Uzi eti Rais ZSa100 ameipeleka Tanzania imekuwa tajiri
 
Apo kuna nini cha kujivunia? ivi kweli kwenye 400 uko 69, umepitwa ni hadi angola bado unakuja hapa kusema ni mafanikio wakati muna miaka 53 ya utawala?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…