Rais Samia aiingiza Tanzania kwenye orodha ya nchi 10 tajiri Afrika 2021

Hizi nguvu za kutafuta na kupika data tungezitumia kupika maendeleo wala tusingehitaji kupika data sababu zingejipika tu na uchumi / utajiri usingehitaji kuambiwa sababu ungeonekana mifukoni na kwenye maisha ya jamii..
 
Hizi nguvu za kutafuta na kupika data tungezitumia kupika maendeleo wala tusingehitaji kupika data sababu zingejipika tu na uchumi / utajiri usingehitaji kuambiwa sababu ungeonekana mifukoni na kwenye maisha ya jamii..
Zipi zimepikwa mkuu?
 
😍😍
 
Safi sana Rais Samia wetu,
 
Awesome Tanzania
 
Mungu bado ni wetu hata Sasa
 
Mungu bado ni wetu hata Sasa
Sisi tunataka Gross National Product ikue(GNP) sio GDP(Gross Domestic Product), msidanganye watu.Kukua kwa GNP kuna maana kwamba wazawa ndio wanaotawala uchumi wa nchi.Kwa upande mwingine GDP kukua kuna maana moja tu,nayo Ni kwamba tumeruhusu watu wa nje watawale uchumi wetu au tumeshaiuza nchi.This is bad news for our country.
 
Acheni kudanganya watu kipimo kizuzi Cha kukua kwa uchumi ni GNP,sio GDP.
 
Kipimo kizuri cha uchumi kukua ni GNP mkuu sio GDP! Sisi tunataka Gross National Product ikue(GNP) na sio GDP(Gross Domestic Product) ikue, msidanganye watu.Kukua kwa GNP kuna maana kwamba wazawa ndio wanaotawala uchumi wa nchi.Kwa upande mwingine GDP kukua kuna maana moja tu,nayo ni kwamba tumeruhusu watu wa nje watawale uchumi wetu au tumeshaiuza nchi.This is bad news for our country.Sasa mali ya MTU amekuja kuiwekeza Tanzania,hii haisaidii sana mzawa.Tunataka mzawa akue ndiye awekeze nchini mwake.Vikokodi Kodi hivyo na ajira so chochote,mzawa anabaki kuwa mtumwa tu.Nadhani wewe unatumiwa na maadui zetu kuwapa Watanzania a fake sense of security,kumbe wanakaangwa.
 
Unamawazo mazuri Ila basics za uchumi hazitambui unachosema hapo, Ndio maana kipimo cha Utajiri ni GDP na sio GNP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…