Jesusie
JF-Expert Member
- Aug 29, 2021
- 1,466
- 766
Who had ever cheated you?True
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Who had ever cheated you?True
Hapan usukum wala nn, hayo yote yanayofanyika ni mwendelezo ya yaliyoachwa na hayati JPM chakumpongeza mama ni usimamizi mzuri basiKwa sababu wewe ni timu sukuma gang huwezi kuona mema ya mama yetu ya mda mfupi mno. Amazingly act.
Kusema hakuna kam mama ni uongo mkubwaNdio uelewe hakuna kama Samia, [emoji123][emoji123][emoji123]
Rais wa watuHahahahahaView attachment 2203691
Zipi zimepikwa mkuu?Hizi nguvu za kutafuta na kupika data tungezitumia kupika maendeleo wala tusingehitaji kupika data sababu zingejipika tu na uchumi / utajiri usingehitaji kuambiwa sababu ungeonekana mifukoni na kwenye maisha ya jamii..
😁😁nimekuelewa sana,Kwa sababu wewe ni timu sukuma gang huwezi kuona mema ya mama yetu ya mda mfupi mno. Amazingly act.
😍😍Kwamujibu wa shirika la takwimu la Taifa ( NBS ) hadi mwishoni mwamwaka jana na mwanzoni mwamwaka huu Pato Ghafi la Taifa kwa bei ya wakati ( GDP at current price) lilifikia TZS 148.522Trilioni ,
Kwa mujibu wa majarida maarufu ya "The Statistics Time " na "Briefly " yameitaja Tanzania kuwa na Pato Ghafi kwa bei za sasa linalofikia US$ 69.238BL au TZS 152.234 Trilioni ikiwa ni sawa na ongezeko la TZS 3.8Trilioni,
Kwalugha rahisi kwa kipindi hiki kifupi cha Rais Samia Suluhu Pato Ghafi ( GDP ) limeongezeka hadi kufikia US$ 69BL kutoka US$66BL na hii ndio inaifanya Tanzania inaingia kwenye orodha ya kumi bora za nchi tajiri zaidi Africa baada ya kuikosa nafasi hii kwa miaka kadhaa sasa
Zaidi soma > What is the richest country in Africa 2021? Top 20 by GDP
Safi sana Rais Samia wetu,Kwamujibu wa shirika la takwimu la Taifa ( NBS ) hadi mwishoni mwamwaka jana na mwanzoni mwamwaka huu Pato Ghafi la Taifa kwa bei ya wakati ( GDP at current price) lilifikia TZS 148.522Trilioni ,
Kwa mujibu wa majarida maarufu ya "The Statistics Time " na "Briefly " yameitaja Tanzania kuwa na Pato Ghafi kwa bei za sasa linalofikia US$ 69.238BL au TZS 152.234 Trilioni ikiwa ni sawa na ongezeko la TZS 3.8Trilioni,
Kwalugha rahisi kwa kipindi hiki kifupi cha Rais Samia Suluhu Pato Ghafi ( GDP ) limeongezeka hadi kufikia US$ 69BL kutoka US$66BL na hii ndio inaifanya Tanzania inaingia kwenye orodha ya kumi bora za nchi tajiri zaidi Africa baada ya kuikosa nafasi hii kwa miaka kadhaa sasa
Zaidi soma > What is the richest country in Africa 2021? Top 20 by GDP
🙏🙏🙏Safi sana Rais Samia wetu,
Awesome TanzaniaKwamujibu wa shirika la takwimu la Taifa ( NBS ) hadi mwishoni mwamwaka jana na mwanzoni mwamwaka huu Pato Ghafi la Taifa kwa bei ya wakati ( GDP at current price) lilifikia TZS 148.522Trilioni ,
Kwa mujibu wa majarida maarufu ya "The Statistics Time " na "Briefly " yameitaja Tanzania kuwa na Pato Ghafi kwa bei za sasa linalofikia US$ 69.238BL au TZS 152.234 Trilioni ikiwa ni sawa na ongezeko la TZS 3.8Trilioni,
Kwalugha rahisi kwa kipindi hiki kifupi cha Rais Samia Suluhu Pato Ghafi ( GDP ) limeongezeka hadi kufikia US$ 69BL kutoka US$66BL na hii ndio inaifanya Tanzania inaingia kwenye orodha ya kumi bora za nchi tajiri zaidi Africa baada ya kuikosa nafasi hii kwa miaka kadhaa sasa
Zaidi soma > What is the richest country in Africa 2021? Top 20 by GDP
WaoohAwesome Tanzania
Mungu bado ni wetu hata SasaKwamujibu wa shirika la takwimu la Taifa ( NBS ) hadi mwishoni mwamwaka jana na mwanzoni mwamwaka huu Pato Ghafi la Taifa kwa bei ya wakati ( GDP at current price) lilifikia TZS 148.522Trilioni ,
Kwa mujibu wa majarida maarufu ya "The Statistics Time " na "Briefly " yameitaja Tanzania kuwa na Pato Ghafi kwa bei za sasa linalofikia US$ 69.238BL au TZS 152.234 Trilioni ikiwa ni sawa na ongezeko la TZS 3.8Trilioni,
Kwalugha rahisi kwa kipindi hiki kifupi cha Rais Samia Suluhu Pato Ghafi ( GDP ) limeongezeka hadi kufikia US$ 69BL kutoka US$66BL na hii ndio inaifanya Tanzania inaingia kwenye orodha ya kumi bora za nchi tajiri zaidi Africa baada ya kuikosa nafasi hii kwa miaka kadhaa sasa
Zaidi soma > What is the richest country in Africa 2021? Top 20 by GDP
Sisi tunataka Gross National Product ikue(GNP) sio GDP(Gross Domestic Product), msidanganye watu.Kukua kwa GNP kuna maana kwamba wazawa ndio wanaotawala uchumi wa nchi.Kwa upande mwingine GDP kukua kuna maana moja tu,nayo Ni kwamba tumeruhusu watu wa nje watawale uchumi wetu au tumeshaiuza nchi.This is bad news for our country.Mungu bado ni wetu hata Sasa
Acheni kudanganya watu kipimo kizuzi Cha kukua kwa uchumi ni GNP,sio GDP.Kwamujibu wa shirika la takwimu la Taifa ( NBS ) hadi mwishoni mwamwaka jana na mwanzoni mwamwaka huu Pato Ghafi la Taifa kwa bei ya wakati ( GDP at current price) lilifikia TZS 148.522Trilioni ,
Kwa mujibu wa majarida maarufu ya "The Statistics Time " na "Briefly " yameitaja Tanzania kuwa na Pato Ghafi kwa bei za sasa linalofikia US$ 69.238BL au TZS 152.234 Trilioni ikiwa ni sawa na ongezeko la TZS 3.8Trilioni,
Kwalugha rahisi kwa kipindi hiki kifupi cha Rais Samia Suluhu Pato Ghafi ( GDP ) limeongezeka hadi kufikia US$ 69BL kutoka US$66BL na hii ndio inaifanya Tanzania inaingia kwenye orodha ya kumi bora za nchi tajiri zaidi Africa baada ya kuikosa nafasi hii kwa miaka kadhaa sasa
Zaidi soma > What is the richest country in Africa 2021? Top 20 by GDP
Unabishana na Tarakimu?Acheni kudanganya watu kipimo kizuzi Cha kukua kwa uchumi ni GNP,sio GDP.
Kipimo kizuri cha uchumi kukua ni GNP mkuu sio GDP! Sisi tunataka Gross National Product ikue(GNP) na sio GDP(Gross Domestic Product) ikue, msidanganye watu.Kukua kwa GNP kuna maana kwamba wazawa ndio wanaotawala uchumi wa nchi.Kwa upande mwingine GDP kukua kuna maana moja tu,nayo ni kwamba tumeruhusu watu wa nje watawale uchumi wetu au tumeshaiuza nchi.This is bad news for our country.Sasa mali ya MTU amekuja kuiwekeza Tanzania,hii haisaidii sana mzawa.Tunataka mzawa akue ndiye awekeze nchini mwake.Vikokodi Kodi hivyo na ajira so chochote,mzawa anabaki kuwa mtumwa tu.Nadhani wewe unatumiwa na maadui zetu kuwapa Watanzania a fake sense of security,kumbe wanakaangwa.Kwamujibu wa shirika la takwimu la Taifa ( NBS ) hadi mwishoni mwamwaka jana na mwanzoni mwamwaka huu Pato Ghafi la Taifa kwa bei ya wakati ( GDP at current price) lilifikia TZS 148.522Trilioni ,
Kwa mujibu wa majarida maarufu ya "The Statistics Time " na "Briefly " yameitaja Tanzania kuwa na Pato Ghafi kwa bei za sasa linalofikia US$ 69.238BL au TZS 152.234 Trilioni ikiwa ni sawa na ongezeko la TZS 3.8Trilioni,
Kwalugha rahisi kwa kipindi hiki kifupi cha Rais Samia Suluhu Pato Ghafi ( GDP ) limeongezeka hadi kufikia US$ 69BL kutoka US$66BL na hii ndio inaifanya Tanzania inaingia kwenye orodha ya kumi bora za nchi tajiri zaidi Africa baada ya kuikosa nafasi hii kwa miaka kadhaa sasa
Zaidi soma > What is the richest country in Africa 2021? Top 20 by GDP
Unamawazo mazuri Ila basics za uchumi hazitambui unachosema hapo, Ndio maana kipimo cha Utajiri ni GDP na sio GNPKipimo kizuri cha uchumi kukua ni GNP mkuu sio GDP! Sisi tunataka Gross National Product ikue(GNP) na sio GDP(Gross Domestic Product) ikue, msidanganye watu.Kukua kwa GNP kuna maana kwamba wazawa ndio wanaotawala uchumi wa nchi.Kwa upande mwingine GDP kukua kuna maana moja tu,nayo ni kwamba tumeruhusu watu wa nje watawale uchumi wetu au tumeshaiuza nchi.This is bad news for our country.Sasa mali ya MTU amekuja kuiwekeza Tanzania,hii haisaidii sana mzawa.Tunataka mzawa akue ndiye awekeze nchini mwake.Vikokodi Kodi hivyo na ajira so chochote,mzawa anabaki kuwa mtumwa tu.Nadhani wewe unatumiwa na maadui zetu kuwapa Watanzania a fake sense of security,kumbe wanakaangwa.