Rais Samia aingilie kati tatizo la wazee kuwaoa mabinti wadogo; aagize sheria ya ndoa kurekebishwa

Mkuu naona una hasira kama umepokonywa mubebe na huyo Mzee, hakuna namna sasa…. jitahidi nawe uzeeke vizuri tu.
Natetea maadili ya kitaifa mkuu; sitaki nchi iendelee kupata laana kwa sababu ya kumuasi Mungu.
 
Etiiii??!
Mkuu, haya maswala ya "moyo/kupenda" ni magumu na mazito sana. Mie nimeamua kua ndugu msikilizaji/mtazamaji.
 
Ushauri kwa mabinti ni: usimkubali mzee wa miaka 70, umkubali kuanzia 90 na juu. Maana hautakuwa muda refu vile hadi utakapokuwa mtu huru tena.
 
Kabisa maana tunagombania mabinti na wazee na mnaoishana nao logde na club
 
Kabisa maana tunagombania mabinti na wazee na mnaoishana nao logde na club
Umeona eeh? Ni shida. Lakini utashangaa baadhi ya vijana wanasapoti wazee kupora mabinti huku wao vijana wakikosa wasichana wa kuwaoa. Inauma sana.
 
Umeona eeh? Ni shida. Lakini utashangaa baadhi ya vijana wanasapoti wazee kupora mabinti huku wao vijana wakikosa wasichana wa kuwaoa. Inauma sana.
Kifuatacho kuna siku utashindwa kusimamisha mkonga halafu umuombe msaada Rais Samia akusaidie usimamishe.
 
Kifuatacho kuna siku utashindwa kusimamisha mkonga halafu umuombe msaada Rais Samia akusaidie usimamishe.
Sasa kama mashine itashindwa kufanya kazi baada ya kukosa mbunye kwa muda mrefu kwa kuwa wazee wamechukua mbunye zetu zote kwanini nisilalamike mkuu? Wewe vipi?
 
Sasa kama mashine itashindwa kufanya kazi baada ya kukosa mbunye kwa muda mrefu kwa kuwa wazee wamechukua mbunye zetu zote kwanini nisilalamike mkuu? Wewe vipi?
Mwanamme acha kulialia.

Ama sivyo kifuatacho utaomuomba Rais Samia na wewe utafutiwe mume.
 
Aanze na Makunduchi kwani huko kwao ni mila na utamaduni wao.
 
Unless kama ni watoto rika la kwenda shule, tena zile za Sekondari. Hawa wengine wenye umri mkubwa zaidi ya shule za Sekondari; kwa upande wangu mimi naomba sana wamsamehe Rais kwa sababu hayupo kwa ajili kuingilia affairs za watu
Tumhamasisheni Rais kuchapa kazi ikiwa ni pamoja na kutembelea miradi mikubwa ya maendeleo aliyoachiwa ili KAZI IENDELEE; haya mambo ya starehe za watu wenye fedha zao yeye yanamhusu nini wakati kwenye kiota chake ana vifaranga zaidi ya million 60; vyote vina njaa na kila kimoja kimeachama mdomo knataka akitemee chakula mdomoni kiweze kula na kushiba?
 
Huyu Agostino Mrema kilichomtokea Pius Ng'wandu kinamnyemelea very soon. Mzigo wote ule atauweza kweli yule mzee aliyechoka kama ng'onda?
 
Mtoa mada ww bado uko nyuma sana na dunia hii kuhusu wanawake, hujui kitu
 
Na mabinti mnaowapa mimba na kuaacha then baadae mnakuja jinadi hamuoi single mother mnalichukuliaje
 
Ungekuwa hapo mfano mke wa mrema kaolewaa na kijana wa miakaa 30 isingekuwa habari ,ilaa kosa mremaa kuoa binti Mdogo ndio kosaa,vijanaa wenyewe wakuoaa wapo wapi mzee baba ,acha binti wawatu kapataa pakujisitirii maishaa yaendeleee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…