Rais Samia Akabidhi Nyumba Kwa Mjane wa Dkt Magufuli (Mama Janeth Magufuli)

Rais Samia Akabidhi Nyumba Kwa Mjane wa Dkt Magufuli (Mama Janeth Magufuli)

Uteuzi wa Dotto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu, Uteuzi wa Paul Makonda kuwa Mwenezi wa CCM na Kauli aliyotoa Rais Samia wakati wa kumkabidhi Mama JANETH Magufuli Nyumba!
" Kaka yangu na Boss wangu" vina ujumbe fulani kwa mtu makini!

Rais Samia is now facing the bitter truth about Powers and Strength the Late Magufuli had in the System and Hearts of Tanzanians!

Zile Kauli za kumbeza Hayati Magufuli zimeyeyuka kama siagi kikaangoni!
 
Alimwamini sana Msoga boy
 
Haya matukio ya vigogo kupeana nyimba, magari, nk kama zawadi/motisha, yanadhihirisha ule msemo wa kwenye Biblia wa aliyenacho, ataongezewa! Na asiyenacho, atanyang'anywa hata kile kidogo alichonacho. 🙁

Hivi katika hali ya kawaida tu, hawa vigogo na familia zao, wana shida kweli ya kujengewa nyumba ukilinganisha na watumishi wengine wa umma wanaoteseka huko Vijijini kwa kuishi katika makazi duni?
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na mjane wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, Mama Janeth Magufuli wakati wa hafla fupi ya kukabidhi nyumba ya kuishi iliyopo wilaya ya Kinondoni ambayo imejengwa na Serikali kwa mujibu wa sheria, Jijini Dar es Salaam tarehe 5 Novemba, 2023.
View attachment 2805976
View attachment 2805975View attachment 2805974
1. Jumba la kifahari
2. Sheria ya mabilioni kwa wenza imepita bila kupingwa- Sasa wenzi wa wastaafu wataishi kama malaika hadi kiama.
3. Ole wako kama huna cheo cha kisiasa mwafwa wee na kizazi chako.
4. Kwa hili Makonda amewaonya msiwashwe na "mambo yetu" tena! waacheni hao watwana tunaowaibia kura na raslimali wajifie tubaki tuki"hondomola"
 
Back
Top Bottom