Continental Ground
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 1,907
- 3,895
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwaiyo kwenye majukumu yake hamna sehemu ya kusikiliza Wananchi![emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huelewei wajibu na majukumu ya Rais.
Mbona Magu zingine alizipatia majibu instantly hapo hapo? Kuna zingine ni nyepesi anaweza toa order kwa DC au RC na ikafanyiwa kazi mapema zaidi. Sasa anasimama ili acheke na wananchi?Ni kweli Rais hawezi kusikiliza kero za mwananchi mmoja mmoja, itakuwa jau sana .... mwingine kapigwa na mumewe anataka kesi apeleke kwa Rais, tutamaliza saa ngapi?
Huyo jamaa anaongea pumba! Rais ndiyo Mkuu wa nchi na serikali,sasa anataka Wananchi wakamwambie Mwijaku![emoji1787]Polisi hawa hawa? Umeshawahi kudeal na polisi hata maiti tu ya ndugu yako kupatiwa ukazike mpaka uwape kitu kidogo...
Kama ameenda hasikilizwi,afanyeje?
Kwanza, kwanini mnaweka assumption kuwa anataka kuongea mambo personal.Wengine huwa Wanaongea mambo ya Hospitali, Barabara,umeme nk,vitu ambavyo viongozi wa sehemu husika hawavifanyii kazi.
Unakumbuka ile shule ya Ubungo ilivyokuwa ovyo,watu wakarusha clip,Rais Magufuli akaiona na kuagiza ijengwe mara moja na ilijengwa.Je,wangekaa kimya ingejengwa?
Viongozi wa Tanzania Wilayani na Mikoani ni wazembe sana,Kwaiyo kwa Rais unayeijua tabia ya viongozi wako ni lazima utumie njia mbadala pia kujua matatizo ya Wananchi.
Mbona Wafanyabiashara Huwa anawaita Ikulu kuzungumza nao kero zao,kwani Waziri wa Biashara hayupo?Rais inatakiwa aweke mifumo na sera bora za kutatua matatizo ya watu, sio hata kuelekeza kutokea majukwaani.
Ila kweli anaweza kupigwa swali la Bandari ikawa aibu ya Mwaka![emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa hivi wakatoliki wamesomewa waraka wa bandari kila sehemu, kuruhusu maswali/hoja ovyo ni hatari.
Unaendaje kulalamika kumwambia Rais takataka za sokoni au mtaani hazikusanywi au umedhulimiwa shamba wakati unao wenyeviti wa mitaa, diwani, mbunge, Halmashauri, wakuu wa wilaya na mkoa, mawaziri wa TAMISEMI, mazingira n.k??Huyo jamaa anaongea pumba! Rais ndiyo Mkuu wa nchi na serikali,sasa anataka Wananchi wakamwambie Mwijaku![emoji1787]
Chawa wa Mama mitandaoni!Ni kweli Rais hawezi kusikiliza kero za mwananchi mmoja mmoja, itakuwa jau sana .... mwingine kapigwa na mumewe anataka kesi apeleke kwa Rais, tutamaliza saa ngapi?
Kwa sababu hajachaguliwa naelewa! Lakini ukipigiwa kura huwezi acha kutatua changamoto za raiaNi kweli Rais hawezi kusikiliza kero za mwananchi mmoja mmoja, itakuwa jau sana .... mwingine kapigwa na mumewe anataka kesi apeleke kwa Rais, tutamaliza saa ngapi?
Watanzania tulipigwa na kitu kizito kichwani, tunahitaji sana raisRais Samia leo September akiwa Nangurukuru mkoani Mtwara alisimamisha msafara wake kuongea na wananchi wa eneo hilo. Moja wananchi hao aliomba kuongea jambo ambapo Rais alimwambia mambo ni mengi na Tanzania ni kubwa.
Rais Samia alimtaka mwananchi huyo ampatie jambo lake mbunge kisha amfikishie Rais au wasaidizi wake.
Mwaka 2017 Rais Magufuli akiwa anaelekea Mtwara alisimamishwa Somanga na mwananchi aliyeelezea changamoto ya zahanati katika eneo hilo kutokamilika kwa miaka mingi. Rais Magufuli alichangia na kuamrisha ikamilike.
Alipopita tena barabara hiyo miaka 3 baadae mwananchi huyo alimzawadia jogoo kama shukrani ya kutimiza ahadi ya kufanyia kazi dukuduku lake na Magufuli alimsubiri mpaka alipomkamatia na kumpa. Alipofariki, mwananchi huyo alifunga safari kumzika Rais Magufuli mwaka 2021.
Jina lako haliendani na upuuzi unaotoa hapa, VITO CORLEONE alikuwa mtetezi wa watu wote hata walioonewa walileta shida zao kwake Godfather!Ila jamani kazi ya mbunge itakuwa nn kama Kila madudu anaambiwa rais?Hongera mama Kwa uso wa mbuzi ndio inavyotakiwa
Mbona Majaliwa aliwasikiliza Wafanyabiashara Kariakoo mmoja baada ya mwingine,kwani alikufa?Ule mtindo wa Magufuli ulikuwa ni upumbavu tu kwa wananchi wapumbavu. Hakukuwa na leadership pale. Hivi Rais mmoja utawezaje kumsikia kila mwananchi?
Endelea hivyo hivyo Samia na wala usiingie mtego wa kugawa hela barabarani
Hapo ndo ushangae magari yanasimama kwa ajili gani? Hawa viongozi wapuuzi sana!Mbona Magu zingine alizipatia majibu instantly hapo hapo? Kuna zingine ni nyepesi anaweza toa order kwa DC au RC na ikafanyiwa kazi mapema zaidi. Sasa anasimama ili acheke na wananchi?
Kama sio baraza la biashara la taifa, TCCIA, TPSF ni matumizi mabaya ya muda na rasilimali na ndio maana mambo huwa hayabadiliki sana hata baada ya hiyo mikutano.Mbona Wafanyabiashara Huwa anawaita Ikulu kuzungumza nao kero zao,kwani Waziri wa Biashara hayupo?
Mtwara Kuna watu milioni 60!!tupo mil 60 kila mtu anashida zake sasa amsikilize nani hiyo kitu ni delegative
Anaogopa DPWAngeweza kusikiliza mmoja au wawili yaani huyu Maza ni mvivu kinona! Yaani hata shauku hana...