Rais Samia akataa mwananchi kueleza shida kwenye mkutano, amtaka amfikishie kupitia mbunge

Huelewei wajibu na majukumu ya Rais.
Kwaiyo kwenye majukumu yake hamna sehemu ya kusikiliza Wananchi![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona Husein Mwinyi ana platform yake ya kusikiliza Wananchi na ata akiwakuta Barabarani anawasikiliza pia.
Acheni Uchawa!
 
Ni kweli Rais hawezi kusikiliza kero za mwananchi mmoja mmoja, itakuwa jau sana .... mwingine kapigwa na mumewe anataka kesi apeleke kwa Rais, tutamaliza saa ngapi?
Mbona Magu zingine alizipatia majibu instantly hapo hapo? Kuna zingine ni nyepesi anaweza toa order kwa DC au RC na ikafanyiwa kazi mapema zaidi. Sasa anasimama ili acheke na wananchi?
 
Uliwahi kuona raia amepewa microphone katika mkutano na Rais akazungumzia mambo ya kitaifa au kimataifa ambayo ndio yanamuhusu Rais hasa??
 
Sasa hivi wakatoliki wamesomewa waraka wa bandari kila sehemu, kuruhusu maswali/hoja ovyo ni hatari.
Ila kweli anaweza kupigwa swali la Bandari ikawa aibu ya Mwaka![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyo jamaa anaongea pumba! Rais ndiyo Mkuu wa nchi na serikali,sasa anataka Wananchi wakamwambie Mwijaku![emoji1787]
Unaendaje kulalamika kumwambia Rais takataka za sokoni au mtaani hazikusanywi au umedhulimiwa shamba wakati unao wenyeviti wa mitaa, diwani, mbunge, Halmashauri, wakuu wa wilaya na mkoa, mawaziri wa TAMISEMI, mazingira n.k??
 
Ni kweli Rais hawezi kusikiliza kero za mwananchi mmoja mmoja, itakuwa jau sana .... mwingine kapigwa na mumewe anataka kesi apeleke kwa Rais, tutamaliza saa ngapi?
Chawa wa Mama mitandaoni!
 
Ila jamani kazi ya mbunge itakuwa nn kama Kila madudu anaambiwa rais?Hongera mama Kwa uso wa mbuzi ndio inavyotakiwa
 
Ni kweli Rais hawezi kusikiliza kero za mwananchi mmoja mmoja, itakuwa jau sana .... mwingine kapigwa na mumewe anataka kesi apeleke kwa Rais, tutamaliza saa ngapi?
Kwa sababu hajachaguliwa naelewa! Lakini ukipigiwa kura huwezi acha kutatua changamoto za raia
 
Watanzania tulipigwa na kitu kizito kichwani, tunahitaji sana rais
 
Ila jamani kazi ya mbunge itakuwa nn kama Kila madudu anaambiwa rais?Hongera mama Kwa uso wa mbuzi ndio inavyotakiwa
Jina lako haliendani na upuuzi unaotoa hapa, VITO CORLEONE alikuwa mtetezi wa watu wote hata walioonewa walileta shida zao kwake Godfather!
Unavyochagua jina lako liendane na kariba yake
 
Ule mtindo wa Magufuli ulikuwa ni upumbavu tu kwa wananchi wapumbavu. Hakukuwa na leadership pale. Hivi Rais mmoja utawezaje kumsikia kila mwananchi?

Endelea hivyo hivyo Samia na wala usiingie mtego wa kugawa hela barabarani
Mbona Majaliwa aliwasikiliza Wafanyabiashara Kariakoo mmoja baada ya mwingine,kwani alikufa?
 
Mandhali Lucas mwashambwa ameshamwambia anapendwa nchi nzima, na anachukiwa na uongozi wa taifa wa CHADEMA pekee basi hana hata haja ya kusikiliza kero maana zinampotezea muda njiani
 
Mbona Magu zingine alizipatia majibu instantly hapo hapo? Kuna zingine ni nyepesi anaweza toa order kwa DC au RC na ikafanyiwa kazi mapema zaidi. Sasa anasimama ili acheke na wananchi?
Hapo ndo ushangae magari yanasimama kwa ajili gani? Hawa viongozi wapuuzi sana!
 
Mbona Wafanyabiashara Huwa anawaita Ikulu kuzungumza nao kero zao,kwani Waziri wa Biashara hayupo?
Kama sio baraza la biashara la taifa, TCCIA, TPSF ni matumizi mabaya ya muda na rasilimali na ndio maana mambo huwa hayabadiliki sana hata baada ya hiyo mikutano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…