Rais Samia akiingia katika kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar

Kama vile kwenye movies harafu uweke za mgandi mgandi hatari
 
Huyo mwenye suti ya dark blue muda mwingi Yuko karibu sana na Madam. But Sijajua ni nani na ana wadhifa gani Kwa Government
 
Yaani wewe huo uso was samiah kwenye picha ndio description ya andiko lako hapa jamvini!!?

Mi namuona kama mtu anaesikilizia jambo fulani aidha la maumivu au hisia zisizo sawa kabisa!!

Ile clip akikohoa Iko wapi!!?waliiondoa faster!na tafsiri za kuiondoa sio nzuri Kwa sisi tunaompenda mwenyekiti!!
 
Huwezi ukaelewa kama huna jicho la tatu.
 
Ilikuwa Ikuku ndogo Chato sasa ni Zenji - sawa.
 
Wewe ni msemàji wà samia au wa ikulu?
 
Kazi ipo
 
Kazi iliyopo na inayofanyika na kufanywa na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge ni kuwaletea maendeleo watanzania,ni kuwainua na kuwakwamua kiuchumi Watanzania,ni kuhakikisha rasilimali zetu zinatumika katika kuboresha maisha ya watanzania .Mama anafanya kazi ya kuhakikisha watanzania wanapata milo mitatu iliyo bora mezani pao.Mama yupo kazini kuleta matumaini na tabasamu katika nyuso na mioyo ya mamilioni ya watanzania.hiyo ndio kazi kubwa aliyonayo Mama yetu Mpendwa Tumaini la watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…