SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Akichukua kwa zaidi ya miaka mitatu inahesabiwa kuwa ni muhula kamili. Kama Katiba unayo soma ibara hiyo inaeleza tena kwa lugha nyepesi kabisa.hebu eleza kwa kifupi tu, katiba inasemaje kama makamu wa rais atakuwa rais, lets say kama mama angechukua madaraka ikiwa imebaki muda wa miaka miwili kumalizika kwa muhula wa mtangulizi wake. Hiyo miaka miwili itajumuishwa kuwa ni awamu yake? Katiba ninayo ila sijafungua nisome ibara hiyo kuhusu makamu wa rais anapokuwa rais pindi rais aondokapo madarakani kama ilivyotokea. Tuelimishane, hii miaka minne ni awamu ya rais samia kwa mujibu wa katiba?
Hakuna Rais hapo zaidi ya hamna kitu kichwani. Wewe pamoja na matapeli wenzako wote mungu achukue roho zenu. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketeeNdugu zangu Watanzania,
Ukimuangalia Rais Samia Unagundua ya kuwa Muda wote amejaa ari,nguvu na hamasa kubwa sana ya kufanya kazi. Unaona muda wote akiwa na morali na utayari wa kuwatumikia watanzania.unaona muda wote mawazo,akili,fikira na kiu yake ni kuwatumikia na kuwawazia watanzania.
Unaona Mungu akiendelea kumjalia afya njema na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania.yupo imara kila muda na mwenye nguvu Utafikiri kijana wa miaka 30.Huyu Mama na Rais ni Bahati sana kuwa naye na kuongozwa naye.yupo imara kiakili na kimwili.
Embu angalia Alivyoingia na kuelekea katika kuongoza kikao cha Baraza la Mawaziri ikulu ndogo ya Tunguu visiwani Zanzibar hii leo.Hatua zake na mwendo wake na hata muonekano wake ni wakuleta matumaini kwa watanzania.Ni wakuleta tabasamu katika maisha ya watanzania.unaona wazi kwa jicho la tatu kuwa Huyu ni kiongozi tuliyemhitaji watanzania kutuongozaView attachment 3135089
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
kwa hiyo tuseme mama anaenda kuomba achaguliwe muhula wa pili hapo mwakani kama ataamua na kupitishwa na chama chake, akishinda uchaguzi muhula wa pili utaisha 2030, atakuwa ameongoza mihula miwili yenye jumla ya miaka 9. Vipi hapa unaonaje aongezewe miaka ili katiba mpya iandikwe?Akichukua kwa zaidi ya miaka mitatu inahesabiwa kuwa ni muhula kamili. Kama Katiba unayo soma ibara hiyo inaeleza tena kwa lugha nyepesi kabisa.
Kwa mujibu wa katiba ya sasa mwisho wake ni 2030 kama atapitishwa na chama chake 2025.kwa hiyo tuseme mama anaenda kuomba achaguliwe muhula wa pili hapo mwakani kama ataamua na kupitishwa na chama chake, akishinda uchaguzi muhula wa pili utaisha 2030, atakuwa ameongoza mihula miwili yenye jumla ya miaka 9. Vipi hapa unaonaje aongezewe miaka ili katiba mpya iandikwe?
Je huyo nae hatoki Burundi kama wale wa magufuli? Nchi ina wajinga wengi mno hii ili ibadilike ni hadi siku ambayo vijana watakiri kuwa wao ni wajinga...Anaitwa Waziri Rajabu ni Katibu binafsi wa Rais Samia
Huyo chawa hajielewi kabisa!Gharama za kupeleka watu wote hao na wakati Ikulu ipo Dodoma, matumizi mabaya ya fedha za umma.
Nitaanzanje kujibizana kwa hoja na wewe wakati nafahamu na kuona huna akili kabisa.Lucas ukitaka kujilinganisha na mimi kwa siasa za nchi hii na za CCM ni kama kulinganisha mlima Kilimanjaro na kichuguu wewe ukiwa kichuguu. Usione nakujibu kihuni ni kwa vile nakuona una akiherere tu cha kutaka uteuzi ilhali wewe bado ni mchanga sana na zaidi ya yote wewe ni mshamba tu.
Mbona bado unanifuatilia , wewe ni chawa na huna tofauti na changudoa uko tayari kufanya chochote au kufanywa chochote ili mradi mkono uende kinywani hivyo ndivyo ulivyo na wote humu wanakuona hivyo.Nitaanzanje kujibizana kwa hoja na wewe wakati nafahamu na kuona huna akili kabisa.
Basi tujiandae kwelikweli maana yeye anatumia pesa wengine wanatumia mfumo,kwahiyo nchi kapewa yeye sisi tumepewa mifumo madenimwaka kesho ndiyo mama anatakiwa kuanza awamu yake ya kwanza hadi 2030, kisha amalize mihula miwili 2035. Hapa anamalizia awamu ya rais wa tano, awamu zake bado hazijaanza
The headless chicken is here again!Ndugu zangu Watanzania,
Ukimuangalia Rais Samia Unagundua ya kuwa Muda wote amejaa ari,nguvu na hamasa kubwa sana ya kufanya kazi. Unaona muda wote akiwa na morali na utayari wa kuwatumikia watanzania.unaona muda wote mawazo,akili,fikira na kiu yake ni kuwatumikia na kuwawazia watanzania.
Unaona Mungu akiendelea kumjalia afya njema na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania.yupo imara kila muda na mwenye nguvu Utafikiri kijana wa miaka 30.Huyu Mama na Rais ni Bahati sana kuwa naye na kuongozwa naye.yupo imara kiakili na kimwili.
Embu angalia Alivyoingia na kuelekea katika kuongoza kikao cha Baraza la Mawaziri ikulu ndogo ya Tunguu visiwani Zanzibar hii leo.Hatua zake na mwendo wake na hata muonekano wake ni wakuleta matumaini kwa watanzania.Ni wakuleta tabasamu katika maisha ya watanzania.unaona wazi kwa jicho la tatu kuwa Huyu ni kiongozi tuliyemhitaji watanzania kutuongozaView attachment 3135089
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hii ngumbaru ni shida kweli kweli, mwenyewe anajiona anajua sana siasa za CCM wakati CCM ina wenyewe na wala hawatumii nguvu kuubwa kama afanyavyo yeye kupata teuzi ni connection tu.The headless chicken is here again!
Hadi huruma .ππ
Amechoka kwa kweli
Amezeeka kwa kasi ya ajabu sana.Ndugu zangu Watanzania,
Ukimuangalia Rais Samia Unagundua ya kuwa Muda wote amejaa ari,nguvu na hamasa kubwa sana ya kufanya kazi. Unaona muda wote akiwa na morali na utayari wa kuwatumikia watanzania.unaona muda wote mawazo,akili,fikira na kiu yake ni kuwatumikia na kuwawazia watanzania.
Unaona Mungu akiendelea kumjalia afya njema na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania.yupo imara kila muda na mwenye nguvu Utafikiri kijana wa miaka 30.Huyu Mama na Rais ni Bahati sana kuwa naye na kuongozwa naye.yupo imara kiakili na kimwili.
Embu angalia Alivyoingia na kuelekea katika kuongoza kikao cha Baraza la Mawaziri ikulu ndogo ya Tunguu visiwani Zanzibar hii leo.Hatua zake na mwendo wake na hata muonekano wake ni wakuleta matumaini kwa watanzania.Ni wakuleta tabasamu katika maisha ya watanzania.unaona wazi kwa jicho la tatu kuwa Huyu ni kiongozi tuliyemhitaji watanzania kutuongozaView attachment 3135089
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Tangu limeanza kulamba makalio halijawahi kukumbukwa hata kidogo! Bure kabisa!Hii ngumbaru ni shida kweli kweli, mwenyewe anajiona anajua sana siasa za CCM wakati CCM ina wenyewe na wala hawatumii nguvu kuubwa kama afanyavyo yeye kupata teuzi ni connection tu.
Umezeeka wewe kimwili na kiakili.ndio maana unazalaulika humu jukwaani kama takataka.Amezeeka kwa kasi ya ajabu sana.
Acha ujinga wako wewe.Tangu limeanza kulamba makalio halijawahi kukumbukwa hata kidogo! Bure kabisa!