Rais Samia akiingia katika kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar

Ndugu zangu Watanzania,

Ukimuangalia Rais Samia Unagundua ya kuwa Muda wote amejaa ari,nguvu na hamasa kubwa sana ya kufanya kazi. Unaona muda wote akiwa na morali na utayari wa kuwatumikia watanzania.unaona muda wote mawazo,akili,fikira na kiu yake ni kuwatumikia na kuwawazia watanzania.

Unaona Mungu akiendelea kumjalia afya njema na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania.yupo imara kila muda na mwenye nguvu Utafikiri kijana wa miaka 30.Huyu Mama na Rais ni Bahati sana kuwa naye na kuongozwa naye.yupo imara kiakili na kimwili.

Embu angalia Alivyoingia na kuelekea katika kuongoza kikao cha Baraza la Mawaziri ikulu ndogo ya Tunguu visiwani Zanzibar hii leo.Hatua zake na mwendo wake na hata muonekano wake ni wakuleta matumaini kwa watanzania.Ni wakuleta tabasamu katika maisha ya watanzania.unaona wazi kwa jicho la tatu kuwa Huyu ni kiongozi tuliyemhitaji watanzania kutuongozaView attachment 3135089

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Tatizo ni
Huyo mwenye suti ya dark blue muda mwingi Yuko karibu sana na Madam. But Sijajua ni nani na ana wadhifa gani Kwa Government
Anaitwa WAZIRI RAJAB,ni Katibu wa Rais,anaongoza kwa kiherehere cha kukaa karibu na Rais kila sehemu,wamepita Marais watano Tanzania lakini hatukuwahi kumfahamu Katibu wa Rais aliye mbelembele kama huyu,anavunja mpaka utaratibu Ili aonekane pembeni ya Rais😀
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ukimuangalia Rais Samia Unagundua ya kuwa Muda wote amejaa ari,nguvu na hamasa kubwa sana ya kufanya kazi. Unaona muda wote akiwa na morali na utayari wa kuwatumikia watanzania.unaona muda wote mawazo,akili,fikira na kiu yake ni kuwatumikia na kuwawazia watanzania.

Unaona Mungu akiendelea kumjalia afya njema na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania.yupo imara kila muda na mwenye nguvu Utafikiri kijana wa miaka 30.Huyu Mama na Rais ni Bahati sana kuwa naye na kuongozwa naye.yupo imara kiakili na kimwili.

Embu angalia Alivyoingia na kuelekea katika kuongoza kikao cha Baraza la Mawaziri ikulu ndogo ya Tunguu visiwani Zanzibar hii leo.Hatua zake na mwendo wake na hata muonekano wake ni wakuleta matumaini kwa watanzania.Ni wakuleta tabasamu katika maisha ya watanzania.unaona wazi kwa jicho la tatu kuwa Huyu ni kiongozi tuliyemhitaji watanzania kutuongozaView attachment 3135089

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kosa ni la Baba yako aliyekojoa ndani ukazaliwa wewe, angejua kama atazaa kocho kama wewe LUCAS MWASHAMBWA hakika angekojoa nje
 
Umezeeka wewe kimwili na kiakili.ndio maana unazalaulika humu jukwaani kama takataka.
We changudoa unahangaika sana wenye chama chao wenyewe kimya wanakula kiulaini wewe unatoa povu kama umefakamia omo. Mzee Mwashambwa kweli hakujua matumizi ya condom hadi kuiletea dunia pooza kama wewe? Unakomaa kusifia mama wa wenzako utafikiri wewe uliokotwa jalalani huna Mama, bwege sana wewe mshamba.
 
Kocho hilo Lucas MWASHAMBWA,ni kocho hasa
 
We changudoa unahangaika sana wenye chama chao wenyewe kimya wanakula kiulaini wewe unatoa povu kama umefakamia omo. Mzee Mwashambwa kweli hakujua matumizi ya condom hadi kuiletea dunia pooza kama wewe? Unakomaa kusifia mama wa wenzako utafikiri wewe uliokotwa jalalani huna Mama, bwege sana wewe mshamba.
Makosa yako yamefutwa na umesamehewa bure kabisa
 
Habari ikiletwa na Muoshambwa baaasi kwangu hiyo ni 🚮🚮🚮
 
Umesamehewa maana huna akili kichwani.
Wewe ni msukule hujitambui, namhurumia sana huyu Mama aliyebeba uozo kama huu tumboni kwake kwa miezi tisa, alijua amepata mkombozi wa familia kumbe ni sawa na zigo la mavi halibebeki kutwa kucha kumuabudu mama abduli tu, pumbavu kabisa.
 
Back
Top Bottom