Rais Samia akikupa mualiko Ikulu wa dakika 5 utamshauri nini kama kijana wa kitanzania?

dont underestimate ureself chief
Hakuna cha kujiunderestimate wala nini, viongozi wetu ni mabaradhuli, watu jeuri, unadhani hawajui wanafanya fyongo, afya, barabara, maji, umeme kote huko shida tupu.
Uwajibikaji zero, watu wanakosa vitu vya msingi wao ni wizi tu na kuendesha magari ya kifahari.
Lenye faida na tanzania hawafanyi, wanafanya yenye faida na wao.

Na kimvua hiki niache kula mbuno mie nikae namshauri samia suluhu.. πŸ˜‚πŸ˜‚
 
vizuri sana, akiacha kwingine. vp mikopo ya elimu ya juu kwa wanafunzi itakuwaje?
Afute mikopo mara moja, wale wanaofaulu na kuchaguliwa watapata huduma zote huko vyuoni, vyakula, stationery na N. K, sioni faida ya kugharamia mabilioni ambayo utakuja shindwa kuyakusanya ukizingatia wanafunzi wengi 90% utashindwa kuja kuwapa ajiri ili fedha zirudi serekalini.
 
Auze Tanzania Kwa Wachina
 
burden to government chief, better do cost sharing in provision of social services
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…