KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Kama wewe hulioni, basi wengine wanaliona.Naomba niambie tatizo la katiba iliyopo?
Mtaji wa ccm ni mburula kama nyie Rais anateua tume ya Uchaguzi yeye na mkewe wewe huoni??Naomba niambie tatizo la katiba iliyopo?
Heri aka risk urais 2025 akamaliza kwa heshima. Kina Al Bashir leo wako selo.
Katiba iliyopo imejivua nguo pale iliporuhusu Rais wa JMT asishtakiwe kwa lolote atakalofanya akiwa madarakani.Naomba niambie tatizo la katiba iliyopo?
Dogo una maswali ya kukariri ya form two, big up!.Nitajie faida na hasara za viongozi wa mihimili kushitakiwa..
Usimtishe Rais wetu. Hakuna hao unadhani wanaweza kuandamana.Kumbuka madaraka uliyo nayo sasa kwa mujibu wa katiba kuna watu hawakupendezwa uwe nayo.
Kama ujuavyo, watu hao wala si wa upinzani bali wa kijani wenzako.
Walisema waswahili kikulacho ki ngumu mwako.
Au unadhani walishakuridhia sasa na kila kitu wewe na wao ni shwari?
Hadi sasa kuna mengi umefanya. Hata hivyo tambua wanaokupongeza na kukukosoa kwa dhati ni watu kutokea upinzani peke yao. Kuwa macho na wanao kupaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
"Akili za kuambiwa Changanya na za kwako." -- JK.
Tulipo sasa tunaelekea kwenye kimbembe cha katiba mpya. Wapinzani wanakwambia ukweli kuhusu hili. Heri kwako ungewasikiliza.
Kujaribu kuzuia au kuuchelewesha ujio wa katiba mpya kutakugharimu wewe binafsi kisiasa, kinyume na wanavyo kushauri. Bado kuizuia haitakuwa rahisi.
Mivutano na ujanja vya nini? Kama watu wanataka katiba mpya si uwasikilize?
Utawalazimisha kinyume na matakwa yao kwa gharama ipi?
Mambo haya 8 ndio yanahitaji katiba mpya? Maana hapa ndio wametaja(huko ulipoitoa hiyo screenshot) mambo Muhimu kuliko mambo yote..
Kingine uache Copy and Paste, badala yake toa mawazo yako kulingana na uelewa wako..
Usimtishe Rais wetu. Hakuna hao unadhani wanaweza kuandamana. Katiba mpya Mimi naiona mwaka 2042. Sio sasa
HAWEZI KURISK MADARAKA YAKE
Wewe unapotezea muda wa watu. Hata wangekueleza nini, sidhani kama una akili ya kuelrwa chochote.Nitajie faida na hasara za viongozi wa mihimili kushitakiwa..
Acha wajadili watu wenye akili timamu.Msituchonganishe wananchi na serikali yetu pendwa hayo makelele yenu ya mavitu yasiyo na tija kwa mwananchi wa kawaida anayeihitaji maji,elimu,umeme na barabara na anaona vinatekelezwa kwa kasi sana huku miradi ikizunduliwa kila kukicha.Nendeni mkatafute katiba mpya za vyama vyenu kwanza haiwezekani wenye viti wa vyama vya upinzani ni kama wafalme kikiwemo cdm tungu wengine tupo vijana wadogo tumekuwa watu wazima mwenye kiti ni huyo huyo tu na huyo katibu mkuu utafikiri amechimbiwa chini yaani hang'atuki pia ubinafsi na uonevu ni mwingi au mnajisikia ni sawa kuona wale akina mama wa viti maalumu wanao nyanyaswa wakiwa bungeni sasa katibu mkuu alipeleka majina NEC baada ya kupitishwa na chama chao kwaajili ya tamaa za watu wachache wanawageuka hapo kuna haki kweki.Acheni mambo yenu.
Hapo ataenda Msoga kuomba ushauri.
Msituchonganishe wananchi na serikali yetu pendwa hayo makelele yenu ya mavitu yasiyo na tija kwa mwananchi wa kawaida anayeihitaji maji,elimu,umeme na barabara na anaona vinatekelezwa kwa kasi sana huku miradi ikizunduliwa kila kukicha.Nendeni mkatafute katiba mpya za vyama vyenu kwanza haiwezekani wenye viti wa vyama vya upinzani ni kama wafalme kikiwemo cdm tungu wengine tupo vijana wadogo tumekuwa watu wazima mwenye kiti ni huyo huyo tu na huyo katibu mkuu utafikiri amechimbiwa chini yaani hang'atuki pia ubinafsi na uonevu ni mwingi au mnajisikia ni sawa kuona wale akina mama wa viti maalumu wanao nyanyaswa wakiwa bungeni sasa katibu mkuu alipeleka majina NEC baada ya kupitishwa na chama chao kwaajili ya tamaa za watu wachache wanawageuka hapo kuna haki kweki.Acheni mambo yenu.
Baada ya kutimia unaonaje sasa mnaenda ikulu?Lile tamko la Lema lilitimia na sasa tuna shrine kule Chato.
Kwa hiyo kumbe shida ni tume?Mtaji wa ccm ni mburula kama nyie.rais anateua tume ya Uchaguzi yeye na mkewe.wewe huoni??
Nikajua umeandika cha maana kumbe ni ngonjera za Katiba mpya.Kumbuka madaraka uliyo nayo sasa kwa mujibu wa katiba kuna watu hawakupendezwa uwe nayo.
Kama ujuavyo, watu hao wala si wa upinzani bali wa kijani wenzako.
Walisema waswahili kikulacho ki ngumu mwako.
Au unadhani walishakuridhia sasa na kila kitu wewe na wao ni shwari?
Hadi sasa kuna mengi umefanya. Hata hivyo tambua wanaokupongeza na kukukosoa kwa dhati ni watu kutokea upinzani peke yao. Kuwa macho na wanao kupaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
"Akili za kuambiwa Changanya na za kwako." -- JK.
Tulipo sasa tunaelekea kwenye kimbembe cha katiba mpya. Wapinzani wanakwambia ukweli kuhusu hili. Heri kwako ungewasikiliza.
Kujaribu kuzuia au kuuchelewesha ujio wa katiba mpya kutakugharimu wewe binafsi kisiasa, kinyume na wanavyo kushauri. Bado kuizuia haitakuwa rahisi.
Mivutano na ujanja vya nini? Kama watu wanataka katiba mpya si uwasikilize?
Utawalazimisha kinyume na matakwa yao kwa gharama ipi?
Nikajua umeandika cha maana kumbe ni ngonjera za Katiba mpya.
Kama wapinzani mna watu si komaeni vinginevyo Katiba itabakia kuwa hisani ya CCM na Rais in particular.
Katiba haiombwi inadaiwa,nyie sina watu? Tumieni hao kudai.Kwani la maana ni lipi ndugu?
Au kwani la maana kwako ndiko la maana kwa dunia nzima?
Kwamba hudhani katika porojo zenu ni la msingi akaachanganya na akili zake?
Ama kweli kuna watu na makerubi.