Rais Samia, akili za kuambiwa changanya na za kwako

Salute mingi sana Mkuu...
 
Mkuu mimi naomba walau mapungufu matano ya katiba hii yanayomuathiri moja kwa moja Mwananchi wa hali ya chini
 
Mkuu mimi naomba walau mapungufu matano ya katiba hii yanayomuathiri moja kwa moja Mwananchi wa hali ya chini

Post #11 na #27 kwenye uzi huu ziko na mapungufu zaidi ya matano ya unayoyataka.

Labda kama unataka yapunguzwe mkuu?
 
Urais ni cheo cha juu kabisa, huwezi kutumia huu ujanja wake wa maongezi katika kumshawishi juu ya uwepo wa katiba mpya.

Kila anachokifanya anashauriwa kwa kina na washauri wenye utaalam wa suala husika.
 
Hakuna asiyejua kuwa urais ni cheo cha juu kabisa. Hata hivyo hawakukosea waliomtambua mdharau mwiba mguu kumuota tende.

Kwamba kila afanyacho ni matokeo ya ushauri wa kina? Hapo si ndipo penye kuchanganya na za kwake?

Kwani kinaponuka watakaoruka kimanga K kama hawakupata kuwapo huwa ni kina nani?

Kwani huyu wa hawa akishauriwa na kina nani?

Akili za kuambiwa hamtaki achanganye na za kwake?
 
Hawa watawala waliokuwa kwenye lile bunge la katiba wakalamba mpunga mwingi tu halafu sasa hawataki hata kusikia tu kuhusu katiba mpya....kwanza ni wasaliti, wanafiki, walafi.....inafaa warudishe hela yote waliyokomba kwenye mchakato ambao hawautaki. . .
 
Urais ni cheo cha juu kabisa, huwezi kutumia huu ujanja wake wa maongezi katika kumshawishi juu ya uwepo wa katiba mpya.

Kila anachokifanya anashauriwa kwa kina na washauri wenye utaalam wa suala husika.
Hao washauri wenye utaalam siyo Mungu kwamba watakosa hila, na vipi waliomshauri kikwete walitumia huo utaalam kuiingizia nchi hasara kwa kitu ambacho hakikutakiwa?!
 
Katiba Mpya huko mbeleni Mama itamsaidia sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…