Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Kama Mnavyojua Rais wetu ni mtu wa kazi,ni mtu wa kupambana kutwa nzima .akiingia kazini anakuwa ameingia na inakuwa ni kazi juu ya kazi kwa siku nzima bila kupumzika.
Kwa hiyo mapema kabisa Leo kabla ya kuendelea na ziara yake ya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja na utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM.
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan alipata wasaa wa kupata chai ya moto na Vitumbua pembeni yake .ili kuweza kupata nguvu na kujiweka sawa kwa ajili ya kazi nzito ya ziara iliyopo mbele yake.
Kwa hakika Rais Wetu Mpendwa Daktari Mama Samia ni chuma kwelikweli, tuna kila sababu ya kujivunia kuongozwa naye.
Huyu hapa Mama akiwa Mwenye tabasamu na furaha lakini mwenye Morali kubwa sana ya kuonana na watanzania ambao siku zote anawapenda sana na kuwajali na ndio maana anakesha anafanya kazi usiku na pia kutwa nzima au Mchana wote.👎🙏
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.