Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #21
Wewe ndio unasema hayo kwa wivu wako tu. Rais wetu anaishi Maisha ya kawaida sanaAcha kupotosha, Rais haishi maisha ya kawaida kama watanzania wengine, hiyo ni mbinu ya kucheza na akili za watu kuelekea Uchaguzi Mkuu