Rais Samia Akipata Chai Ya Motomoto Na Vitumbua Kabla ya kuendelea Na Majukumu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo Mkoani Tanga

Sasa

Sasa mbona Hanabi anatuzia kula vitumbua?!
Sijawahi mzingatia maana ushauri wake hauseminanamshauri nani πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ. Mimi mbeba mizigo sokoni naanzaje kumsikiliza mtu anasema ninywe kikombe kimoja cha chai bila kitafunwa.🀣🀣🀣🀣🀣
 
Katiba sio "kijitabu" ndio iliyokuweka hapo kwenye Vitumbua moto moto vya nazi.

Tunataka Katiba bora mpya.
Katiba yetu ni nzuri na bora sana. Na ndio maana tumestawi na kusalia na usalama,amani na utulivu kama Taifa
 
Mbona mnampa mama kikombe kidogo hivyo? Hivi mnajua kuzunguka na kuongea siku nzima si lele mama. Hakikisheni mama kapata mlo wa kutosha bana Janabi muwekeni pembeni kidogo hadi ziara iishe.
hicho cha kupigia picha. Bilauri lenyewe lipo chini ya meza hapo.
 
Kwa hiyo unamchukia magufuri siyo?
 
Unapokuwa na majitu majinga kama hili ni hasara kubwa sn kwa taifa na maendeleo ni ndoto, yaani kunywa chai nayo ni story ya kuleta JF badala ya kujadili chanamoto za wananchi? Ndiyo maana tunaonekana JF kama jukwaa la watu wasio na akili kumbe kuna majitu majinga humu hayastahili kuwepo kama huyu shetani. Siku nyingine wewe shetani utapandisha picha za Rais akiwa bafuni. Shetani kabisa.
 
Ningeomba ukae pembeni maana huu ni uzi kwa ajili ya wenye akili Timamu tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…