Na mimi nashangaa hata Professor Janabi hatii NemoKwa umri huo alionao,hayo matumbura na masukari anayobugia hovyo.
Yeti macho tu.
Umeshazunguka nchi hii Kwa mapana yake? Au unaishi city center?Kwani wewe huoni hatua kubwa za kimaendeleo tulizopiga kama Taifa?
Mapishi ya watani zangu wagosi kitumbua kina hiriki,girigirani,karafuu,pilipili manga,mama ale anenepe zaidi,mitano tena kwako mamaNdugu zangu Watanzania,
Kama Mnavyojua Rais wetu ni mtu wa kazi,ni mtu wa kupambana kutwa nzima .akiingia kazini anakuwa ameingia na inakuwa ni kazi juu ya kazi kwa siku nzima bila kupumzika.
Kwa hiyo mapema kabisa Leo kabla ya kuendelea na ziara yake ya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja na utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM.
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan alipata wasaa wa kupata chai ya moto na Vitumbua pembeni yake .ili kuweza kupata nguvu na kujiweka sawa kwa ajili ya kazi nzito ya ziara iliyopo mbele yake.
Kwa hakika Rais Wetu Mpendwa Daktari Mama Samia ni chuma kwelikweli, tuna kila sababu ya kujivunia kuongozwa naye.
Huyu hapa Mama akiwa Mwenye tabasamu na furaha lakini mwenye Morali kubwa sana ya kuonana na watanzania ambao siku zote anawapenda sana na kuwajali na ndio maana anakesha anafanya kazi usiku na pia kutwa nzima au Mchana wote.ππView attachment 3251617
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Acha Mama aendelee kupata chakula bora na mlo safi kwa ajili ya kupata nguvu za kuendelea kututumikia watanzania. Mama ndio Mboni yetu watanzaniaMapishi ya watani zangu wagosi kitumbua kina hiriki,girigirani,karafuu,pilipili manga,mama ale anenepe zaidi,mitano tena kwako mama
Ungesema wapi huko kusiko na maendeleo ambako hakujafikiwaUmeshazunguka nchi hii Kwa mapana yake? Au unaishi city center?
Acha dharau zako hapa wewe.Watu wa Ikulu wawe makini kwenye kuachia picha na matukio ya Bi Mkubwa.
Huyu mtoa mada hata akiona picha ya Bi Mkubwa anafunga kilemba atakuja kuileta humu kama habari π
Take that noteAcha dharau zako hapa wewe.
hiyo nayo ni habari ya kutuletea huku cha ajabu nini sasa yaani sengerema weweNdugu zangu Watanzania,
Kama Mnavyojua Rais wetu ni mtu wa kazi,ni mtu wa kupambana kutwa nzima .akiingia kazini anakuwa ameingia na inakuwa ni kazi juu ya kazi kwa siku nzima bila kupumzika.
Kwa hiyo mapema kabisa Leo kabla ya kuendelea na ziara yake ya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja na utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM.
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan alipata wasaa wa kupata chai ya moto na Vitumbua pembeni yake .ili kuweza kupata nguvu na kujiweka sawa kwa ajili ya kazi nzito ya ziara iliyopo mbele yake.
Kwa hakika Rais Wetu Mpendwa Daktari Mama Samia ni chuma kwelikweli, tuna kila sababu ya kujivunia kuongozwa naye.
Huyu hapa Mama akiwa Mwenye tabasamu na furaha lakini mwenye Morali kubwa sana ya kuonana na watanzania ambao siku zote anawapenda sana na kuwajali na ndio maana anakesha anafanya kazi usiku na pia kutwa nzima au Mchana wote.ππView attachment 3251617
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pil
Na wewe weka habari yako ndugu yangu.Take that note
Sio kila habari ni habari Kwa Umma
Anza kula Vitumbua kama ambavyo hata mimi hula sana na kuvipenda sana .Kumbe Rais anakula vitumbua sasa hiki kisirani changu bila mkate wa siagi hakinywi chai kimepata wapi huo ujasiri ,,
Nikianza kuorodhesha hapa sitamalizaUngesema wapi huko kusiko na maendeleo ambako hakujafikiwa
Huna akili weweRais Wetu Mpendwa anakula na kuishi Maisha ya kawaida kabisa kama tunayoishi sisi watanzania.
Wewe ni mshamba... Kwenye kula breakfast vya baridi vinaanza, then mwisho vya moto!Kiafya ni nzuri sana hiyo. Hapo atakunywa na maji kiasi na kupumzika kwa muda mfupi kabla ya kuanza safari Rasmi. Ndio maana unaona hata akili ya Rais wetu ikiwa inafanya kazi vizuri sana. Mama yupo imara na mwenye nguvu Muda wote.
Basi endelea kula maviporo yako ya baridi mpaka uvimbe Tumbo Utafikiri umepuliziwa upepo.Wewe ni mshamba... Kwenye kula breakfast vya baridi vinaanza, then mwisho vya moto!
Usituaminishe ulaji wa kishamba!
Kwa hiyo kunywa chai siku hizi ni story?Ndugu zangu Watanzania,
Kama Mnavyojua Rais wetu ni mtu wa kazi,ni mtu wa kupambana kutwa nzima .akiingia kazini anakuwa ameingia na inakuwa ni kazi juu ya kazi kwa siku nzima bila kupumzika.
Kwa hiyo mapema kabisa Leo kabla ya kuendelea na ziara yake ya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja na utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM.
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan alipata wasaa wa kupata chai ya moto na Vitumbua pembeni yake .ili kuweza kupata nguvu na kujiweka sawa kwa ajili ya kazi nzito ya ziara iliyopo mbele yake.
Kwa hakika Rais Wetu Mpendwa Daktari Mama Samia ni chuma kwelikweli, tuna kila sababu ya kujivunia kuongozwa naye.
Huyu hapa Mama akiwa Mwenye tabasamu na furaha lakini mwenye Morali kubwa sana ya kuonana na watanzania ambao siku zote anawapenda sana na kuwajali na ndio maana anakesha anafanya kazi usiku na pia kutwa nzima au Mchana wote.ππView attachment 3251617
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mungu amzidishie maisha pomoni na Mungu awapunguzie maisha wale wote wanaomchukia mama Samia kipenzi cha Mwenyezi Mungu na WA Tanzania wote.Ndugu zangu Watanzania,