ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,837
- 3,027
Kwa combinesheni ya Ulaji wa namna hiyo kwa Kweli hawamtendei haki !Kwa kweli kanibubujisha machozi ya furaha huyu kipenzi chako.
Ila ana ulaji mmbaya sana,chai na juice kwa pamoja?
Naendelea kufuatilia suala hilo kujua tatizo. Kwa hiyo kuweni na subira.Huku Goba maji hayatoki.
Kama unakula na hufanya mazoezi au kujishughulisha na kazi ndio shida .lakini kama unafanya kazi haina shida. Rais wetu Mpendwa yupo kazini muda wote na ni mtu wa kazi muda wote.Kwa combinesheni ya Ulaji wa namna hiyo kwa Kweli hawamtendei haki !
Hapo Dr janabi atakuwa anasikitika sana π³ !
Hata wana CHADEMA tu wengi sana wameweka picha za Mama Majumbani Mwao.
πKama unakula na hufanya mazoezi au kujishughulisha na kazi ndio shida .lakini kama unafanya kazi haina shida. Rais wetu Mpendwa yupo kazini muda wote na ni mtu wa kazi muda wote.
Kweli! Tunakubali! Hapati meme, maji, huduma za afya, anakaa foleni barabarani, rais wetu kweli anaishi maisha ya shida kama sisi raia!Rais Wetu Mpendwa anakula na kuishi Maisha ya kawaida kabisa kama tunayoishi sisi watanzania.
Kulaghai wapiga kura kampeni mbona mapema mno!!Kumbe na yeye samia huwa anakunywa chai na kitumbua kama Lolita wangu!!!
Huyu Mama hana shida....mifumo ndio tatizo,,,,,Anyway mimi si mwana politiki.Ndugu zangu Watanzania,
Kama Mnavyojua Rais wetu ni mtu wa kazi,ni mtu wa kupambana kutwa nzima .akiingia kazini anakuwa ameingia na inakuwa ni kazi juu ya kazi kwa siku nzima bila kupumzika.
Kwa hiyo mapema kabisa Leo kabla ya kuendelea na ziara yake ya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja na utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM.
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan alipata wasaa wa kupata chai ya moto na Vitumbua pembeni yake .ili kuweza kupata nguvu na kujiweka sawa kwa ajili ya kazi nzito ya ziara iliyopo mbele yake.
Kwa hakika Rais Wetu Mpendwa Daktari Mama Samia ni chuma kwelikweli, tuna kila sababu ya kujivunia kuongozwa naye.
Huyu hapa Mama akiwa Mwenye tabasamu na furaha lakini mwenye Morali kubwa sana ya kuonana na watanzania ambao siku zote anawapenda sana na kuwajali na ndio maana anakesha anafanya kazi usiku na pia kutwa nzima au Mchana wote.ππView attachment 3251617
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Unafikirisha sana mzee chawa, unatumia nguvu kubwa sana kwenye haya masuala kuna mawili ,Ndugu zangu Watanzania,

Kama tunavyoishi sisi Watanzania.Rais Wetu Mpendwa anakula na kuishi Maisha ya kawaida kabisa kama tunayoishi sisi watanzania.
Kumbe na yeye samia huwa anakunywa chai na kitumbua kama Lolita wangu!!!
Hata wewe unaweza kuchagua utumie kitafunio kipi.Lalita wako anakunywa chai na vitumbua maana ndo uwezo wake, Rais yeye amechagua, na ana option nyingi; hiyo ndo tofauti
Mimi nakoshwa sana na uchapakazi wa Mama yetu Mpendwa na ndio maana naungana na mamilioni ya watanzania kumuunga mkonoUnafikirisha sana mzee chawa, unatumia nguvu kubwa sana kwenye haya masuala kuna mawili ,
Unafanya haya uingie kwenye mfumo kisha ufanye jukumu lako la "asili" na nna uhakika utafanikiwa mana kuna wenye " kazi zao wamelala,
Pili unachokifanya umekiwekea code ngumu sana " D mbili " yani unachokisema kiwe vice versa.
Hata wewe unaweza kuchagua utumie kitafunio kipi.
Kwenda zako huko.Usijibu nachoandika wewe useless
Hapan ila nataka Cha mamaKwani mtaani kwako hakuna Vitumbua.
Kama haya unayoandika yanatoka kichwani mwako na unayaamini basi kajipime afya ya akili, ila kama ni sababu ya mkono kwenda kinywani basi I salute you.Ndugu zangu Watanzania,