Rais Samia Akipata Chai Ya Motomoto Na Vitumbua Kabla ya kuendelea Na Majukumu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo Mkoani Tanga

Kwa kweli kanibubujisha machozi ya furaha huyu kipenzi chako.
Ila ana ulaji mmbaya sana,chai na juice kwa pamoja?
Kwa combinesheni ya Ulaji wa namna hiyo kwa Kweli hawamtendei haki !
Hapo Dr janabi atakuwa anasikitika sana 😳 !
 
Kama unakula na hufanya mazoezi au kujishughulisha na kazi ndio shida .lakini kama unafanya kazi haina shida. Rais wetu Mpendwa yupo kazini muda wote na ni mtu wa kazi muda wote.
 
😏
1000025350.png
 
Rais Wetu Mpendwa anakula na kuishi Maisha ya kawaida kabisa kama tunayoishi sisi watanzania.
Kweli! Tunakubali! Hapati meme, maji, huduma za afya, anakaa foleni barabarani, rais wetu kweli anaishi maisha ya shida kama sisi raia!
😅😆😂🤣
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kama Mnavyojua Rais wetu ni mtu wa kazi,ni mtu wa kupambana kutwa nzima .akiingia kazini anakuwa ameingia na inakuwa ni kazi juu ya kazi kwa siku nzima bila kupumzika.

Kwa hiyo mapema kabisa Leo kabla ya kuendelea na ziara yake ya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja na utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM.

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan alipata wasaa wa kupata chai ya moto na Vitumbua pembeni yake .ili kuweza kupata nguvu na kujiweka sawa kwa ajili ya kazi nzito ya ziara iliyopo mbele yake.

Kwa hakika Rais Wetu Mpendwa Daktari Mama Samia ni chuma kwelikweli, tuna kila sababu ya kujivunia kuongozwa naye.

Huyu hapa Mama akiwa Mwenye tabasamu na furaha lakini mwenye Morali kubwa sana ya kuonana na watanzania ambao siku zote anawapenda sana na kuwajali na ndio maana anakesha anafanya kazi usiku na pia kutwa nzima au Mchana wote.👎🙏View attachment 3251617

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Huyu Mama hana shida....mifumo ndio tatizo,,,,,Anyway mimi si mwana politiki.
 
Unafikirisha sana mzee chawa, unatumia nguvu kubwa sana kwenye haya masuala kuna mawili ,

Unafanya haya uingie kwenye mfumo kisha ufanye jukumu lako la "asili" na nna uhakika utafanikiwa mana kuna wenye " kazi zao wamelala,

Pili unachokifanya umekiwekea code ngumu sana " D mbili " yani unachokisema kiwe vice versa.
 
Kumbe na yeye samia huwa anakunywa chai na kitumbua kama Lolita wangu!!!

Lalita wako anakunywa chai na vitumbua maana ndo uwezo wake, Rais yeye amechagua, na ana option nyingi; hiyo ndo tofauti
 
Unafikirisha sana mzee chawa, unatumia nguvu kubwa sana kwenye haya masuala kuna mawili ,

Unafanya haya uingie kwenye mfumo kisha ufanye jukumu lako la "asili" na nna uhakika utafanikiwa mana kuna wenye " kazi zao wamelala,

Pili unachokifanya umekiwekea code ngumu sana " D mbili " yani unachokisema kiwe vice versa.
Mimi nakoshwa sana na uchapakazi wa Mama yetu Mpendwa na ndio maana naungana na mamilioni ya watanzania kumuunga mkono
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kama Mnavyojua Rais wetu ni mtu wa kazi,ni mtu wa kupambana kutwa nzima .akiingia kazini anakuwa ameingia na inakuwa ni kazi juu ya kazi kwa siku nzima bila kupumzika.

Kwa hiyo mapema kabisa Leo kabla ya kuendelea na ziara yake ya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja na utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM.

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan alipata wasaa wa kupata chai ya moto na Vitumbua pembeni yake .ili kuweza kupata nguvu na kujiweka sawa kwa ajili ya kazi nzito ya ziara iliyopo mbele yake.

Kwa hakika Rais Wetu Mpendwa Daktari Mama Samia ni chuma kwelikweli, tuna kila sababu ya kujivunia kuongozwa naye.

Huyu hapa Mama akiwa Mwenye tabasamu na furaha lakini mwenye Morali kubwa sana ya kuonana na watanzania ambao siku zote anawapenda sana na kuwajali na ndio maana anakesha anafanya kazi usiku na pia kutwa nzima au Mchana wote.👎🙏View attachment 3251617

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kama haya unayoandika yanatoka kichwani mwako na unayaamini basi kajipime afya ya akili, ila kama ni sababu ya mkono kwenda kinywani basi I salute you.
 
Back
Top Bottom