Rais Samia Akipata Chai Ya Motomoto Na Vitumbua Kabla ya kuendelea Na Majukumu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo Mkoani Tanga

Ndugu zangu Watanzania,

Kama Mnavyojua Rais wetu ni mtu wa kazi,ni mtu wa kupambana kutwa nzima .akiingia kazini anakuwa ameingia na inakuwa ni kazi juu ya kazi kwa siku nzima bila kupumzika.

Kwa hiyo mapema kabisa Leo kabla ya kuendelea na ziara yake ya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja na utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM.

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan alipata wasaa wa kupata chai ya moto na Vitumbua pembeni yake .ili kuweza kupata nguvu na kujiweka sawa kwa ajili ya kazi nzito ya ziara iliyopo mbele yake.

Kwa hakika Rais Wetu Mpendwa Daktari Mama Samia ni chuma kwelikweli, tuna kila sababu ya kujivunia kuongozwa naye.

Huyu hapa Mama akiwa Mwenye tabasamu na furaha lakini mwenye Morali kubwa sana ya kuonana na watanzania ambao siku zote anawapenda sana na kuwajali na ndio maana anakesha anafanya kazi usiku na pia kutwa nzima au Mchana wote.👎🙏View attachment 3251617

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Yaani Raisi kunywa chai ni habari siku hizi wakati wanajeshi wapo Congo wanakufa!
 
Kwamba main theme Chai na Vitumbua.., Nyongeza jinsi Fedha toka Serikalini (ingawa nadhani ni zetu i.e. Kodi zetu zilivyopelekwa Tanga)..., By the way si kupelekwa huko ni kwa mujibu wa Bajeti na Mipango au ni uamuzi binafsi ?

In short nadhani tumejikita sana kwenye cosmetics badala ya kudeal na issues... (Ila ndio Politics) busy talking the talk...

By the waya afanye jitihada wakati yeye ana break fast na full meal (bila kusahau juice) wengine hata Kifungua kinywa kishakuwa msamiati... (Nyie Cheerleaders na hayo mfikishieni, sababu inaonekana kila kitu anafanya yeye)
 
..Mama Abduli anapenda sana kupiga picha.🤣
Mama ni Kama Maji usipoyanywa utayaoga tuuu. Kila nyumba kwa sasa imepamba picha za Rais Samia . Maana kila akipita na kutembelea sehemu unaona namna watu wanavyogombaniana kupiga picha
 
..kila ofisi ina picha ya Mama Abduli.

..kila nyumba ina picha ya Mama Abduli.

..kila bidhaa ina picha ya Mama Abduli.
 
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan alipata wasaa wa kupata chai ya moto na Vitumbua pembeni yake .ili kuweza kupata nguvu na kujiweka sawa kwa ajili ya kazi nzito ya ziara iliyopo mbele yake.
Prof. Jenabi hajamwambia vitumbua vinakunenepesha kama kuku wa nyama? Asifanye mazoea.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kama Mnavyojua Rais wetu ni mtu wa kazi,ni mtu wa kupambana kutwa nzima .akiingia kazini anakuwa ameingia na inakuwa ni kazi juu ya kazi kwa siku nzima bila kupumzika.

Kwa hiyo mapema kabisa Leo kabla ya kuendelea na ziara yake ya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja na utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM.

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan alipata wasaa wa kupata chai ya moto na Vitumbua pembeni yake .ili kuweza kupata nguvu na kujiweka sawa kwa ajili ya kazi nzito ya ziara iliyopo mbele yake.

Kwa hakika Rais Wetu Mpendwa Daktari Mama Samia ni chuma kwelikweli, tuna kila sababu ya kujivunia kuongozwa naye.

Huyu hapa Mama akiwa Mwenye tabasamu na furaha lakini mwenye Morali kubwa sana ya kuonana na watanzania ambao siku zote anawapenda sana na kuwajali na ndio maana anakesha anafanya kazi usiku na pia kutwa nzima au Mchana wote.👎🙏View attachment 3251617

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mbona yuko pekeyake?mie nilifikiri amejumuika na wananchi wa huko kunywa chai na vitumbua kumbe kajichana pekeyake 😁😆😂 Samia kweli ni mchoyo hafahi kuwa kiongozi wa nchi hii.
 
Wana Tanga ndio wamemuandilia Mgeni wao na RAIS Wao Kipenzi
 
Back
Top Bottom